Sikutaka log-in kwa sasa, ila umenilazimisha kwa hii picha. Kaka, ina ujumbe mzuri mno, I wish hata wale walio nje ya JF waione, wangepata ujumbe huu mzuri.
kwa macho yangu kwenye picha naona:-
miaka ya 2000-
hao watu wanachukua pembe za ndovu kila moja ya kwake (chukua chako)..knn n.k...