Ushauri wangu kwa wanaopenda astral projection rahisi ni kufanya asubuhi yani unatega alarm muda wa saa 8:30 usiku alafu unaamka kitandani yani ushuke kitandani kabisa ikiwezekana ufanye fanye hata vikazi ili mradi ubongo uchangamke zaidi ya nusu saa alafu rudi kitandani saa 9:00 pia muda huu ni...
Unaweza usirudi una maana gani?
Yani astral projection unaweza ukafa?
Kwa uzoefu wangu mwili ni dhaifu lakini roho hii radhi,
Mtu akiwa astral sio rahisi kufa lakini ukiwa kawaida ni rahisi sana kufa
Nashukuru kwa kunishauri mkuu!
Mimi natumia lucidy dream kufanya astral projection na ninatumia technic ya kuamka afu narudi tena kulala
Nishauri kitu kutokana na haya
Nashindwa kuelewa kwanini nikiwa lucidy dreams natoka kwa tabu sana yani mchakato wake ni wa muda mrefu
Nikihesabu vidole ndo kabisa sitoki niki imaging kioo kinatokea na nikijiangalia najiona macho yangu yanatisha kama yanawaka wekundi uliochanganyika na blue wakati mnasema lucid aujioni ila...
Tumia application inaitwa binaural beat therapy afu sikiliza huku umefumba macho
Afu usijitahidi wewe relax kama autaki kutoka vile
Usichezeshe macho hofu inapungua Na utaanza kuelea mpaka unatoka kitandani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kamba IPO juu ya Kutoka darini afu fikiria mkono wako wa kushoto unanyanyuka kushika kamba ili ujivute darini unatoka zako chapu
Sent using Jamii Forums mobile app
watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Ukweli ni kwamba ulimwengu wa kiroho anaweza kwenda MTU yeyote Na hakuna madhara yeyote labda kama unao ushahidi ulete Mkuu
Nimejifunza ukiwa astal body ni ngumu kupata madhara kuliko ukiwa physical body
Ndo maana bibilia inasema mwili ni dhaifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.