wewe kama hayana manufaa kwako kaa kimya. Tulio na matatizo ya kiafya yanatupatia maajabu zaidi ya milion. Wewe unayeteseka na magojwa kunywa maji uone maajabu ya kitabibu
mtanzania ukitaka kumficha kitu weka kwenye maandishi, kamwe hatayagudua. We kama maneno ya ndodi hayakufai yapotezee, si kwamba wote hayatufai. Ukiyafanyia utafiti kwenye maandishi utakuta Ndodi yuko sahihi. Sasa we unayebishi umeisaidia nini jamii ya watanzania ambayo inahitaji kuelimishwa na...
wanajamvi kwa mara nyingine naomba mchango wenu kimawazo. Kuanzia jtatu wiki hii nasikia maumivu makari sana upande mmoja wa shavu like shoti ya umeme au kama vile moto unaniunguza.
Nimetembelea vituo vya afya na wamenipa dawa lakini sioni nafuu. Swali langu kwenu wenyeufahamu na tatizo hili-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.