Recent content by Red tea jr

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkakati ule ule ulitumiwa na CHADEMA juu ya madhaifu Lowassa ndio unaotumika sasa na wazalendo wote

    CHADEMA hao, hata hawajielewi, mbowe huyo huyo alimkandia lowasa, sasa kauza chama kwa lowasa huyo, lkn bado wamo tuuuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein ajitetea, Asema ushindi wake ni halali

    Seif alishindaje uchaguzi na hali alisusa? Icc Na uchaguzi wapi na wapi, potezeni muda wenu tu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kesi BAVICHA kuendeshwa kwa mwezi mmoja

    We ni hakimu!!!? Na kuuliza?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa; Watanzania wana akili sana

    Kumtoa babu Seya ndani au elimu, elimu, elimu????
  5. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    CCM haiwezi kuuawa na wapiga dili, sajilini saccos yenu Brera mfanye biashara vizuri
  6. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hivi yale magari ya M4C yaliondoka na Dr slaa?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Upinzani ufe mara ngapi!???? Au umesahau uchaguzi uliopita mgombea wetu wa uraisi tulimuazima kutoka ccm na mgombea mwenza tulimuazima kutoka cuf, na msemaji wa chadema yetu akatoka nccr? Chezea gia za angani wewe!!!!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Gwajima asema hawezi gombana na walevi, wazee na wagonjwa

    Teteteh , kanisa lake linaitwa kanisa la kufufua misukule! Kama waumini wake ni misukule mimi sijui
  9. R

    JamiiForums Tanzania KKKT kurejesha serikalini shilingi milioni 129 baada ya kubanwa na TAKUKURU

    Hata lowasa aliwanunua kwenye uchaguzi uliopita,
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni Nyota Gani?

    Lowassa!??? Hata Nyerere alimkataa. Wizi wake ni kama lahana
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    Bora wajisajiri Brera, maana hii ni kampuni ya biashara siyo chama cha siasa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

    Kabisa mkuu, natamani siku Dr slaa anarudi tumpokee airport port na huo uwe mwanzo wa kudai muda wetu, rasilmali zetu, nguvu zetu, hatuwezi kuporwa chama chetu pendwa tulichopigania na waroho wa pesa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

    Na alishiriki vikao vya kuwaumiza, Mungu awarehemu marehemu wote watatu waliopoteza maisha, kama wangejua aliyeshiriki kuwaumiza ataamia upande wao...... Sijui
  14. R

    JamiiForums Tanzania CCM inao wanachama milioni 8 na usheee, CHADEMA inao Wanachama wangapi?

    Chadema ina washabiki tu, tafuta bendela zao mitaani au ofisi kama utapata!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uongo huu wa Kikwete unakera sana!!

    Wewe ndo mwongo, kama Mtenvu aligawa yote hivyo mbona alipigwa chini na wana Temeke?!!! Watu wengi sisi wenye utimamu hatukuchagua mtu, tulichagua sera_ilani. Ilani ya Ukawa ilikuwa kwenye mtandao! Bibi yako wa uko kijijini anajua website? AMKA KIJANA
Back
Top Bottom