sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Makamanda tuelezeni chama chenu kinao wanachama wangapi maana hatukuwahi kumsikia Mbowe ama Slaa akisema idadi ya wanachama wake lakini tumekuwa tukisikia zikitajwa namba kubwa za wanaojiunga kila uchwao. Nimesikia wapo laki sita (600,000) ni kweli au?