Recent content by Red one

  1. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkoa wa Dar es Salaam, tunaunga mkono msimamo wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF)

    Chadema Mkoa wa Dar Es salaam,Tunaunga Mkono Msimamo wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Kwakutokufanya kazi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Ndugu Paul Makonda vile vile Tunalipongeza Jukwaa hilo Kwa kumtangaza Mkuu huyo wa Mkoa kama Adui wa Uhuru wa vyombo vya habari Nchini. Vyombo vya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Maisha ya wakazi wa Mwanga na siasa zao kwasasa zimalebadilika sana, huwezi kumtofautisha kileo na mwanga kwasasa. Kwa upande wa ccm wanawakati mgumu sana kutokana na siasa zao za kikanda walizozitengeneza kwasasa wanamakundi ya Usangi na ugweno na kileo ameanza kucheza karata yake vizuri hata...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Hana jipy huyo msaliti
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Hizi siasa bado zipo? Siasa za kuongelea watu badala ya fact.
  5. R

    JamiiForums Tanzania BAADA YA KESI YA UGAIDI: Kilewo awapa ujumbe Watanzania

    Swadakta Sinta na akina Joket ndiyo level zake huyo.....
  6. R

    JamiiForums Tanzania BAADA YA KESI YA UGAIDI: Kilewo awapa ujumbe Watanzania

    Wewe Mbeba mabox hicho ni Kitambi ama umevimbiwa? Kaa mbali na Chadema, CCM wenyewe walikutosa uchaguzi wa ubunge wa Africa mashariki .. bado kiherehere hakijaisha?
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kuungwa mkono Jimbo la Waziri Maghembe

    Chadema sasa haikamatiki tena, siyo vijijini wala mijini sasa ni kazi tu..
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kuungwa mkono Jimbo la Waziri Maghembe

    Jadilini alichokifanya Kilewo ni Sawa ama siyo sawa? Acheni purukushani zenu za kimagamba magamba hapa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mahojiano kati ya Hoyce Temu na Godbless Lema sehemu ya pili kesho kupitia Channel Ten Saa 7:30 PM

    Lema, Tanzania siyo masikini, ila tunatatizo la fikra nchi yetu ni kati ya nchi bora kwa umasikini.....
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kanda ya mshariki kufunika jiji tarehe 02/03/2013 taarifa ya tolewa kwa umma

    Nimepita nitarudi baadae...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Wampongeza Rais Obama Kwa Ushindi, Na Demokrasia ilivyokuwa huru

    SALAMU ZA PONGEZI ZA CHADEMA KWA USHINDI WA BARACK OBAMA. Novemba 6 wananchi wa Marekani walishiriki uchaguzi mkuu ambao ulikuwa na mchuano mkubwa baina ya vyama vikuu vya Republicans and Democrats. Republicans waliwakilishwa na Mitt Romney na Democrats wakiwakilishwa na Barack Obama ambaye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Soma hapa: waraka huu kwa Rais na uwajibikaji wa viongozi kwa Taifa letu.

    Hoja ya Kilewo inahitaji majibu ya kina, Ama ningalisema mjadala mpana sana, Wanajf tulikuwa tumekosa vitu kama hivi muda mrefu ambavyo unajua kabisa kuwa hapa mtu alikaa chini akafikiri kisha aakaandika siyo kukurupuka na kutaka kuandika ili ajaze profile yake vitu. Mimi ningalizadhani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

    Lema huna mtu wakukufikia kwasasa kwenye aina ya siasa unayofanya hongera sana tupo nyuma yako, mnao taka cv za watu nyie na cv zenu mmelifanyia nini taifa? Zaidi ya kulihujumu taifa na elimu zenu feki? Nenda lema tunaamini unachokifanya kuliko hawa mabwabwa huko wanao bwabwaja, hata leo tumejua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Million 300 Lawaka moto Voda, Kigoma all star wajieleza!

    Katika kile kinachoendelea kwasasa kwenye sakata la mgombea Urais 2015, kampuni ya simu za mikononi ya husika katika maandalizi hayo yenye Lengo la kumsimamisha mgombea Binafsi ama Mgombea huyo akagombee kupitia ADC na ndiyo maana ADC imewekwa Rangi za Chadema maana mgombea huyo atatokea Chadema...
Back
Top Bottom