Recent content by red fox

  1. red fox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada acheni kuwa ombaomba fanyeni kazi mpate hela zenu,zama zimebadilika

    Naomba nikwambie tu kua huyo ni mwanaume mwenzio wa Dar
  2. red fox

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    i am spiritual and never religious, naunga mkono hoja
  3. red fox

    JamiiForums Tanzania Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

    Kweli leo nmekanyaga menstrual blood
  4. red fox

    JamiiForums Tanzania Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Yapo mambo tunatakiwa kuyazungumza mara kwa mara ili watu wayaelewe. Moja ya mambo hayo ni hili la watu kudaiana hela hadi kufikishana polisi. Mtu binafsi, Saccos au taasisi imekukopesha fedha, na hatimaye umeshindwa kulipa, wanachokifanya ni kukupeleka polisi. Huko polisi ati unaandikishwa...
  5. red fox

    JamiiForums Tanzania Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

    JF ni kama sehem zangu za siri, huwekukuta tu niko jf mbele za watu[emoji3][emoji3][emoji3]
  6. red fox

    JamiiForums Tanzania Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

    Samahani, nmeitoa kwa wenzio ILALA BOMA
  7. red fox

    JamiiForums Tanzania Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

    1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_* *_Happy women's day to you!_* 2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_ _Happy women's day to you!_ 3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._* *_Wewe pia tukutakie...
  8. red fox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

    Bukoba unaenda lini waitu,?
  9. red fox

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Uko maporini ulikokimbilia kutakua kuna baridi kubwa sana, unapata ugonjwa wa akili mgando na mawazo poofu[emoji16][emoji16][emoji16]
  10. red fox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

    Deogratius Kisandu karudi na style ya changu
  11. red fox

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Bado nakumbuka wanangu sita waliowaua (story yote kwenye episode moja tu)

    Wakati natoka nilimuona Mama yangu akiweka kitu chini ya kiti cha gari, nilishangaa kidogo kwani sikujua sababu yake. Hakuniona, nilisimama kwa muda kumuangalia, alifunga mlango wa gari harakaharaka na kuzungukia kwa nyuma, hakurudia njia ile niliyokua mimi. Bado nilikua na wasiwasi kuwa ni kitu...
  12. red fox

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Unataka niongee ili niende iringa bila kutoa nauli,?
  13. red fox

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Unataka niongee ili niende iringa bila kutoa nauli,?
  14. red fox

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    "Tunapoteza fedha nyingi kwa kununua dawa nje ya nchi. Niwaombe Maaskofu wetu wahubiri hili. Fedha hizo zingeweza zikabaki hapa nchini na kuzalisha ajira. Cha ajabu hivi vya msingi hatuzungumzii, tunazungumzia vingine, sijui tumelogwa!"- Rais Dkt MagufuliJP 26-03-2018
  15. red fox

    JamiiForums Tanzania Be like bro fans memes

Back
Top Bottom