Mitandaoni kuna maigizo mengi. Sasa ni jukumu la mlengwa wa online dating kuchechemua upi ni uhalisia na upi ni uigizaji. Angalizo sio rahisi kutambua ila inawezekana.
Biashara inaanza pale ambapo watu wana mahitaji ambayo hayajatamizwa na uwezo na nia ya kutaka kutimiza mahitaji hayo wanao (uwezo wa kununua). Kwa hiyo watu (soko)wa kuwauzia wapo na watakuwepo tu. Watu tuna mahitaji tofauti na utofauti huo wa mahitaji ndio unaoleta sababu ya kutaka...
Neno ujasiriamali si, neno geni miongoni mwetu na kumekuwa na dhana nyingi sana kuhusiana na ni nani mjasiriamali na ni nani ambaye sio mjariamali.
Mjasiriamali katika dhana ya kisasa ni mtu ambaye ni mbunifu au mwanamaendeleo (developer), ambaye anaziona fursa na kutumia nguvu zake, muda wake...
Inawezekana! Au msosi alioupata siku hiyo ndio umeleta tabu hiyo. Hahahaha! Yote kwa yote michezo ya ligi ndogo imeshamiri sana siku hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima kuendelea kudai HAKI hii ya mikataba katika sekta ya uziduaji kuwa wazi! Kama hawaweki wazi! Je wanaficha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.