Recent content by REBEL

  1. REBEL

    Wale mliokuwa mnasema Rais Magufuli hajui lugha ya malkia hapo vipi??

    Mbona marais wote hata wa ulaya wanasoma walichoandikiwa
  2. REBEL

    Uchambuzi wa namna 'Madikteta' huhodhi madaraka

    Mbona amejiandika yeye zitto kabwe!Ka chama kake ni NGO yake.Unafiki huu bwana unpaid wa mafarisayo.Ndio hayo ya kumnyooshea mtu kidole kimoja wakati vinne vinaelekea kwako!
  3. REBEL

    Kasi ya Magufuli yawafanya Wamarekani wahoji maamuzi ya MCC

    Post kama hizi za watu wenye akili na hekima nyumbu hawazipendi.wao wanataka uwaambie form four failure mbowe na Lema wana akili kuliko wabunge 100 wa ccm!
  4. REBEL

    Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Daudi alikuwa anachunga mifugo ya jessealikuwa ajajinda kuwa mfalme wa israel,lakini Mungu alimtia mafuta.Urais unachaguliwa na Mungu.Augombanniwi kama lowassa.Anaogombania urais ni mwizi
  5. REBEL

    Mfumo Unapoingiza Nyoka: Swali katika Neno Lisemwalo

    Joka linawakilisha milionea Lowassa au watu wenye tabia mbaya kwenye jamii.Ndicho nilichojifunza kwenye shairi.Waliotetea joka walilaumu mfumo.Walilaumu mfumo ili joka lionekane halina hatia.
  6. REBEL

    Magufuli fumba macho, kopa haya kutoka kwa Lowassa

    mbona hautaji sifa kubwa ya lowassa ufisadi wa richmond
  7. REBEL

    Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    tunamkumbuka kwa wizi wa Richmond.angekuwa rais angeuza nchi mzee wa mamvii
  8. REBEL

    Rais Magufuli: Uhakiki mdogo umeshabaini watumishi hewa 1,680 Serikalini!

    Mbowe na nyumbu wengine watakuja kumtetea huyu mtumishi wa mishahara 17,watasema hakupewa muda wa kujitetea!
  9. REBEL

    Magufuli anaogopa wanasiasa wenzake, anakomaa na watumishi wa umma tu!

    siku hizi nakala nyingi hapa hazina research zinaandikwa na watu wenye mihemko.Na pamoja nakutokuwa na utafiti na busara na wenyewe wanasema wanamshauri rais.
  10. REBEL

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    fisadi mwenye hela chafu,mwizi lowassa hahaha.ukawa mwizi anashinda.
  11. REBEL

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    nyei mnaompenda lowassa bado pamoja na kashfa zote umekata tamaa na maisha au hamna kazi ?
  12. REBEL

    Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    mbona wanaojiunga na ukawa ni watu waliochujaa na wajinga Tambwe au wana dalili za ufisadi mfano Lowassa,Masha,Sumaye sasa Mungai.Kwanini sisikii majina ya maana mara tambwe hiza.Poor chadema naanza kuichukia wanachukua makapi kila kona,Shauri yao!
  13. REBEL

    FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Chadema msitufanye watu ni wajinga.Hotuba ya Lowassa kwa kipimo chochote ilikuwa mbovu,haina mvuto,na inaonyesha mtu hajui kuongea.Mimi sijawahi kuona kiongozi wa siasa hasiyejua kuongea kama Lowassa.Hata Mnyika angeongea vizuri.
  14. REBEL

    FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Mtu hajui hata kuongea.Na usiku itv anasoma hotuba kama mtoto wa darasa la kwanza.Sumaye kaaongea kushinda huyo baba. Au alikuwa anaogopa kuanguaka?Hotuba dakika 10?
Back
Top Bottom