Kasi ya Magufuli yawafanya Wamarekani wahoji maamuzi ya MCC

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,887
3,195
Mwandishi Marc Silver kaandika makala nzito ya hoja zinazokinzanza kuhusu uhalalli wa MCC kuvunja uhusiano na Tanzania. Katika makala hiyo yenye kichwa cha habari:

'You Can Have Our Millions — But First You Must Pass Our Test'
Mwandishi ameonesha kuwa njia walioitumia MCC haikuwa sahihi na badala yake inadhoofisha mahusiano ya Tanzania na Marekani.
Nukuu muhimu:
Nukuu ya kwanza: [On the other hand, Phyllis Pomerantz, a professor of the practice of public policy at Duke University, says the analogy is apt. "If it's a partnership," she says, "somebody is a junior partner."
"If your intent is to reduce poverty and promote honest growth, the [MCC approach] is not helpful," Pomerantz says. Consider the Tanzania example. The country is dependent on foreign aid but "doesn't know under what circumstances and conditions a donor is going to stop giving money," she says. Meanwhile, she says, the rest of the donor community is still giving aid to Tanzania even if MCC stops.]

Nukuu ya pili: "There is reason for hope," Moyo wrote. "It is hard to doubt the sincerity of President Magufuli's intentions to bring positive change to Tanzania. His actions to increase accountability and curb corruptions within the government speak for themselves. He will take action, but in his own time. He's not the kind of man that can be pushed around.""

Wakati hayo yakiendelea huko Marekani, baadhi ya vyombo vya habari wiki hii vimemnukuu Maalim Seif akiwaambia wafuasi wake kuwa wasitegemee kupata demokrasia kutoka mataifa ya kigeni. Kauli hii huenda ni kukata tamaa kwa kile kinachoonekana wahisani hawatoi mbinyo alioutarajia kwa serikali za Magufuli na Dk. Shein.

Huenda kweli MCC ni (au ilikuwa) kaa la moto, ila tutegemee mwisho wa siku litageuka majivu..!
You Can Have Our Millions — But First You Must Pass Our Test
 
tanzania_2_custom-162fb2162e773c3f34420c26700c98b645e94ae2-s800-c85.jpg

Hili ndo bango lilobeba makala.. Ila najiuliza je huyo Bi mkubwa hana haki yoyote kweli hapo?
 
Mwandishi Marc Silver kaandika makala nzito ya hoja zinazokinzanza kuhusu uhalalli wa MCC kuvunja uhusiano na Tanzania.

MCC walipata ushauri mbovu kutoka kwa washauri wabovu waliosababisha matokeo mabovu.
Uzuri wa wamarekani hufanya assesment zao baadaye.Nakuhakikishia wakigundua walikuwa wakipewa taarifa potofu zilizosababisha wakachukua uamuzi potofu ulioletelea matokeo mabaya yawe ya Taswira ya marekani nk watawaondoa wote waliohusika na kuwawajibisha.

Hivyo usije shangaa uongozi wote wa MCC tanzania ukafungishwa virago,Balozi wa Marekani na maofisa wake wakafungishwa virago na vile vi NGO vilivyokuwa vikipata pesa za marekani vikawa vinapika taarifa za uongo vikawa havipati pesa tena.Na watu binafsi waliokuwa wakipeleka taarifa za uongo za kutunga kwa kulipwa nao hawatalipwa tena.
 
Mwandishi Marc Silver kaandika makala nzito ya hoja zinazokinzanza kuhusu uhalalli wa MCC kuvunja uhusiano na Tanzania. Katika makala hiyo yenye kichwa cha habari:
'You Can Have Our Millions — But First You Must Pass Our Test'
Mwandishi ameonesha kuwa njia walioitumia MCC haikuwa sahihi na badala yake inadhoofisha mahusiano ya Tanzania na Marekani.
Nukuu muhimu:
Nukuu ya kwanza: [On the other hand, Phyllis Pomerantz, a professor of the practice of public policy at Duke University, says the analogy is apt. "If it's a partnership," she says, "somebody is a junior partner."
"If your intent is to reduce poverty and promote honest growth, the [MCC approach] is not helpful," Pomerantz says. Consider the Tanzania example. The country is dependent on foreign aid but "doesn't know under what circumstances and conditions a donor is going to stop giving money," she says. Meanwhile, she says, the rest of the donor community is still giving aid to Tanzania even if MCC stops.]

Nukuu ya pili: "There is reason for hope," Moyo wrote. "It is hard to doubt the sincerity of President Magufuli's intentions to bring positive change to Tanzania. His actions to increase accountability and curb corruptions within the government speak for themselves. He will take action, but in his own time. He's not the kind of man that can be pushed around.""

Wakati hayo yakiendelea huko Marekani, baadhi ya vyombo vya habari wiki hii vimemnukuu Maalim Seif akiwaambia wafuasi wake kuwa wasitegemee kupata demokrasia kutoka mataifa ya kigeni. Kauli hii huenda ni kukata tamaa kwa kile kinachoonekana wahisani hawatoi mbinyo alioutarajia kwa serikali za Magufuli na Dk. Shein.

Huenda kweli MCC ni (au ilikuwa) kaa la moto, ila tutegemee mwisho wa siku litageuka majivu..!
You Can Have Our Millions — But First You Must Pass Our Test
Mzee kabla hawajakuja kukutafuna ngoja niungane na wewe kuweka hii link
You Can Have Our Millions — But First You Must Pass Our Test
 
Taratibu tu watamuelewa JPM.
Naona kama wameshaanza kumsoma:
"It is hard to doubt the sincerity of President Magufuli's intentions to bring positive change to Tanzania. His actions to increase accountability and curb corruptions within the government speak for themselves. He will take action, but in his own time. He's not the kind of man that can be pushed around."
 
Wapinzani muda si mrefu watakuja hapa kukuzodoa kwani wanadhani umeweka uzi wa uongo tu kama wao walivyozoea kudanganya. Wasubiri maana hawataki kabisa kusikia Serikali hii ikipata mafanikio.

Mafaniko yepi? Sukari kupanda bei? Nauli ya UDART kuwa juu na ku watoa kwenye ajira wale waliokuwa wanapata ujira kwenye daladala za route zilizofutwa?
Ama kweli mtu ukipenda chongo uitwa kengeza.
 
Post kama hizi za watu wenye akili na hekima nyumbu hawazipendi.wao wanataka uwaambie form four failure mbowe na Lema wana akili kuliko wabunge 100 wa ccm!
Kwamba wana katibu mkuu msomi. Japo kusoma kuzuri ila kusomasoma, na kusoma soma ni kasoro!
 
Mafaniko yepi? Sukari kupanda bei? Nauli ya UDART kuwa juu na ku watoa kwenye ajira wale waliokuwa wanapata ujira kwenye daladala za route zilizofutwa?
Ama kweli mtu ukipenda chongo uitwa kengeza.
Ukisikiliza wimbo Shida wa Marehemu Remy Ongala, utapata majibu mazuri..! Shida haikosekani hata siku ya harusi...! Usikiri utaishi kama uko paradiso, lazima kuna shida za hapa na pale. Hizo zisikuvunje moyo wa kuinjenga nchi yako. Sawa mkuu. Tunachoangalia ni dhamira..!
 
Topic excerpt:
1. The Millennium Challenge Corporation has come up with one strategy. MCC, as it's called, is a U.S. government foreign aid agency created by Congress in 2004 to fight global poverty.
2. "MCC forms partnerships with some of the world's poorest countries, but only those committed to good governance, economic freedom and investments in their citizens."

3. To be selected for aid that can help reduce poverty, countries are evaluated by a scorecard drawn from third party data gathered by groups like Freedom House, the World Bank and UNICEF. If there are concerns — say, evidence of corruption or a lack of democratic rights — then a country would not be eligible for an MCC compact.
4. The latest suspension is Tanzania. A $463 million grant — designated to improve the access of rural residents to electricity — was suspended this spring. .....
5. The problem is that the country hasn't lived up to the MCC definition of "good governance." An election on March 20 on the island of Zanzibar (a semi-autonomous part of Tanzania) was deemed "neither inclusive nor representative" by MCC. What's more, says Tritter, "the Government of Tanzania has also not taken measures to ensure freedom of expression and association are respected in the implementation of the Cybercrimes Act."


Tafakari kwa kutumia akili. MCC wamejiwekea misingi ya kufuata, na hawawezi kwenda nje ya walichoamua tayari. Naona hao walioandika makala ile wanatumia mioyo kwa kutuonea huruma kwa kuona MCC ilijichnganya kutunyima hizi pesa, yaani ni sawa umwambie Nape CCM kwako haikufai (pamoja na kwamba aliwahi kutaka kuikacha).
Waandishi wana lao jambo, isiwe ni wadogo zake Symbion. Kwenye mradi wa umeme vijijini nasikia nao wana pata zabuni.
 
ccm kwa kuziamini ndoto za mchana.hivi bado munaitaka fedha ya MCC?hiyo fedha haitufai ina masharti magumu.
Hatutaki pesa za MCC ila tunataka dunia ijue kuwa sababu walizotoa wamerekani kuichafua Tanzania zinakinzana na misingi yao wenyewe.
Makala imeeleza vizuri, ona nukuu kama hii: ['Cutting off aid in this manner "sours [the donor's] relationship with the country," Pomerantz says. And if the reason for the cutoff has to do with elections, she says, "this is a violation of their political sovereignty."]
 
Topic excerpt:
1. The Millennium Challenge Corporation has come up with one strategy. MCC, as it's called, is a U.S. government foreign aid agency created by Congress in 2004 to fight global poverty.
2. "MCC forms partnerships with some of the world's poorest countries, but only those committed to good governance, economic freedom and investments in their citizens."
3. To be selected for aid that can help reduce poverty, countries are evaluated by a scorecard drawn from third party data gathered by groups like Freedom House, the World Bank and UNICEF. If there are concerns — say, evidence of corruption or a lack of democratic rights — then a country would not be eligible for an MCC compact.
4. The latest suspension is Tanzania. A $463 million grant — designated to improve the access of rural residents to electricity — was suspended this spring. .....
5. The problem is that the country hasn't lived up to the MCC definition of "good governance." An election on March 20 on the island of Zanzibar (a semi-autonomous part of Tanzania) was deemed "neither inclusive nor representative" by MCC. What's more, says Tritter, "the Government of Tanzania has also not taken measures to ensure freedom of expression and association are respected in the implementation of the Cybercrimes Act."


Tafakari kwa kutumia akili. MCC wamejiwekea misingi ya kufuata, na hawawezi kwenda nje ya walichoamua tayari. Naona hao walioandika makala ile wanatumia mioyo kwa kutuonea huruma kwa kuona MCC ilijichnganya kutunyima hizi pesa, yaani ni sawa umwambie Nape CCM kwako haikufai (pamoja na kwamba aliwahi kutaka kuikacha).
Waandishi wana lao jambo, isiwe ni wadogo zake Symbion. Kwenye mradi wa umeme vijijini nasikia nao wana pata zabuni.
Huyu mwandishi ni mahiri: maana alijua hoja kama zako zitaibuka: Ndiyo maana akaandika hivi:
[And if the reason for the cutoff has to do with elections, she says, "this is a violation of their political sovereignty.]
Kwa maana hiyo kuitumia Zanzibar kujenga hoja ni swa na kuleta hoja isiyo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom