Recent content by RealWorld

  1. RealWorld

    JamiiForums Tanzania HOJA Nilikopa 20m, nimejenga nyumba, kulipa deni imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Biashara zinahitaji akili ya biashara. Wanaochoma pesa ni wengi kuliko wanaofaidika
  2. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Hongera na Mungu akusimamie. Ila bado sana, bado upo kwenye excitement stage. Subiri ukate miaka mi4-5. Ukutane na kodi za TRA 3-4. Kisha rudi hapa utipe ushuhuda. Kila la kheri mkali
  3. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Dunia inahitaji balance. Wawepo wa kujiajiri na wakuajiriwa. Hakuna muda utafika woote tukawa upande mmoja. Ifahamike tu kwamba kujiajiri ni mateso zaidi ya kuajiriwa.
  4. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Hazina yako iko wapi......?

    😁😁😁 hapo napo hakumaanisha physical material.
  5. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

    Acha hizo faza, acha tudumiahe mahusiano yatakayozaa ndoa na familia itakayounda jamii bora.
  6. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Kujipodoa kwa mwanaume ni zaidi ya ushoga

    Comment #106 ya jamaa anajiita makebo katiririka matusi shindili. Uzoefu unanionesha, mashoga wengi wana matusi mengi vinywani mwao. Ni watu wa kutukana tukana mitusi mikubwa. Tuleeni watoto wakuu.
  7. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Kujipodoa kwa mwanaume ni zaidi ya ushoga

    Watu wa bange mpooo? Wanaume tuache kutumia NIVEA FOR MEN, tutakua mashoga wakuu😁
  8. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Hili suala lisipopatiwa ufumbuzi ni hatari sana kwa jamii

    Sina hakika ila nadhani mvi na kipara ni matokeo ya ukoo na stress.
  9. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Hili suala lisipopatiwa ufumbuzi ni hatari sana kwa jamii

    Sijawahi kupaka super black tangu nizaliwe. Nimeota mvi nikiwa na miaka 31
  10. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tanganyika bila JamiiForums ingekuwaje?

    No social media at all = Good life
  11. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Je kudondoshwa Kwa mawakili wa Serikali takribani 10 na Lissu akiwa peke yake pale court of Appeal ina maana gani?

    Michezo hio. Washtaki na mshtakiwa wanajua mwisho wa hilo picha. Ni nyinyi viewers ndio mnajipa stress na kupigana huku nje
  12. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unapotaka kuolewa huwa unajuliza unaenda na nini? Yaani unamwongezea nini huyo mwanaume ambacho ni spesho?

    Watu wanafanya judgment vibaya. Mwanamke asiye na chocho ila mnyenyekevu, mwenye kumtuliza mumewe, ni rahisi sana kupata, kuolewa na kutulia na mwanaume mwenye kila kitu. Mwanamke asiye na chochote ila mnyenyekevu mwenye kumtuliza mumewe ni rahisi kupa, kuolewa na kudumu na mwanaume asiye na...
  13. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

    “Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na hayo yote mtazidishiwa” mwenye kufungua hili fumbo anakua na nafasi kubwa ya kusonga mbele
  14. RealWorld

    JamiiForums Tanzania Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

    Nchi ichafuke wapi na wewe
Back
Top Bottom