Jahazi linazama..Anaona Chama kinamfia mikononi mwake.Niwaulize Kashfa zingine Mmiliki atakuwa nani?
Hapa ni MABADILIKO.
CCM iondoke tu kwa kuwa hakuna msafi na mzuri au mleta mabadiliko ndani ya CCM.hata Magufuli hafai..
Huyu Pole Pole sasa tumwite Haraka Haraka.Misingi aliyekuwa anasimamia kama Kijana sasa ameiamishia kwenye Ukada.Kwa ujumla Kwa sasa anatumika kwa nafasi moja tu ya kuwasema UKAWA.Ushahidi upo na hata jana alipokuwa kwenye mahojiano channel Ten.Yeye kama mwanaharakati hakupaswa kubeba dhamana ya...
Vijana wa Lumumba bana,Povu linawatoka.Eti kila kitu Hapa Kazi tu,ukiwafwatilia hata wao wanataabika isipokuwa wamekunywa maji ya Bendera.Hii nchi haibadiliki kwa ajili ya vijana kama hawa eti Hapa Kazi Tu hata haya hawana.
Mabadiliko lazima,na kwa kuwa CCM imeshindwa chini ya mfumo wao miaka...
wengine tumemaliza nao chuo kikuu,Leo hii umri wa miaka 30 anakuwa bilionea kisa baba raisi,Kwa hali hii lazima tubadlishe huu mfumo wa kuchuma ukiwa ikulu..
Kwani Jamhuri haina taarifa kamili juu ya Richmond?..Usiwe fwata upepo,kwani Lowasa kupiga hela za Richmond au ni sehemu ya majukumu na maelekezo isipokuwa bosi wake ndio wa kwanza kuulizwa.
Mnapoteza muda sana.Skendo zingine zote ni zaidi ya Richmond mbona hamzungumzii hayo na inajulikana...
Hivi Team ya Propaganda ya CCM mbona inazidi kupanic.Huyu Sita nae yy sio size ya Lowasa,Anna Makinda.Au Labda Tabwe Hiza ila hatamuweza pia.
MICCM mipovu inawatoka kila kukicha,yaani badala ya kutangaza Sera Lowasa..Tushakuwa Viziwi tunataka CCM iondoke tufanye maendeleo ya Tanzania mpya...
Hizo takwimu za CCM sio sahihi.Isipokuwa kama takwimu zenyewe zinabadilika,idadi ya wapiga kura wasio na vyama ni zaidi ya 14million ukilinganisha na idadi ya wapiga kura waliojiandikisha.
Amekosa U-DC na Ubunge Lol.Je atapata ulaji wapi, kweli nimeamini hana kazi nyingine anayoweza kufanya zaidi ya hivi vyeo vya kupewa.Aende akalime, si viongozi wengi wanasema vijijini kuna fursa nyingi za Kilimo, aende kijijini kwao akawakomboe ndugu zake kama kauli mbiu ya ma RC na dc (Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.