Recent content by Real Estate Projects

  1. R

    Tatoo JWTZ

    Wasalaam wakuu nina mdogo wangu anataka ku apply kujiunga na jeshi la jwtz au polisi mwakani kwani anapenda sana jeshini sasa tatizo moja ni kuwa ana tatoo kwenye bega na amesikia kuwa jeshini huingii kama una tatoo so anatafuta sehemu hapa Dar ambayo wanatoa tatoo ili aifute tatoo yake kama...
  2. R

    Natafuta Mchoraji wa Graphs kama vile histograms, pie charts, bar graphs

    Graphs kama Histogram, Pie Chart n.k michoro iko kumi na mbili na unaruhusiwa kutumia program yeyote ambayo utakuwa unataka kuitumia kama zile za kwe ye B plans Bofya hapa uone aina hizo za graphs http://www.bplans.com/art_film_theater_business_plan/executive_summary_fc.php...
  3. R

    Extra Neutral Alcohol (ENA)

    SALAAM Tuna uwezo wa ku supply Extra Neutral Alcohol (ENA) zenye standard ya hali ya juu sana kutoka Asia kwa ajili ya kutumikakuzalisha bidhaa kama alcohol na bidhaa zingine za kwenye phamaceutical products.. tuna partnership na labs kubwa za Asia zenye kutengeneza ENA kwa kiwango cha...
  4. R

    Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

    Tatizo linaanza kwa waajiri right?? kuna haja ya kuajiri wazungu au waarabu kuja kutuendeshea management ya ndege zetu?? kwani waafrika wenzetu wanaonekana kuwa hawawezi
  5. R

    Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

    Hivi kwanini makampuni mengi ya ndege yanakodisha? kwanini yasinunue ndege zao?? kama hapo juu kwa precision air mmesema kuwa moja ya tatizo lililopelekea kupata hasara ni kuongezeka kwa gharama za ukodishaji... je inawezekana kuondoa gharama za kukodisha kwa kununua ndege mpya ni bora uwe na...
  6. R

    Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

    Hivi sie wazawa hatuwezi kuanzisha makampuni yetu ya ndege na yakawa yako strong?? Tatizo nini? Au ufadhili kutoka makampuni ya nje?? Mie nitajitoa mhanga aisee kwa kutafuta makampuni ya nje wataalamu nipeni consultation kwa hili
  7. R

    Kampuni ya ndege ya Precision Air yapata hasara maradufu..

    hivi ni kazi sana mtu kuanzisha kampuni ya ndege iwapo ukitafuta wafadhili nchi za nje?? Nitajitoa mhanga mimi kwa kujairibu hebu mwenye idea yeyote tulizungumze hili wataalamu ninawasubiri
  8. R

    King Mada Maugo kugombeu ubunge Rorya kupitia CHADEMA

    huyu ndio yule pambano lake la mwisho kabondwa?
  9. R

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    kwa hiyo unataka kuniambia mbunge anaweza kumpiga mtu mpaka akafa bungeni na yet akawa ana kinga ya kibunge?
  10. R

    Microsoft yainunua Nokia...

    sasa subiri comeback yake...
  11. R

    Natafuta partners mbalimbali kwa ajili ya kunziahsa miradi mbali mbali ya real estates

    Natafuta partners wenye viwanja vilivyosajiriwa ambavyo ni suitable kwa real estates projects kuanzia appartments mpaka commercial buildings wanaosubiri wawekezaji mbali mbali....hasa kwenye miji mikubwa ya Dar na Mwanza... viwanja hivyo viwe aidha katikati ya jiji na isiwe mbali sana na...
Back
Top Bottom