Microsoft yainunua Nokia...

Microsoft yainunua Nokia...

Wakuu mi mbona nina harakati za kununua Nokia Lumia 720, ila humu ndani wengine mnasema ni OS mbaya sana. Tuelezeni kiundani basi.
 
tafuta mtu mwenye lumia yenye wp8 kama ni rafki yako au mtu unaemjua akuazime ulale nayo itumie kama utahitaji msaada wa selection za application na namna ya kutumia nitakufundisha then utafanya maamuz sahihi
 
Microsoft killed Nokia.
Mpango ulikua planned zamani huu.
Dah.
 
Wakuu mi mbona nina harakati za kununua Nokia Lumia 720, ila humu ndani wengine mnasema ni OS mbaya sana. Tuelezeni kiundani basi.

labda hiyo window 8 lakini kwa ambazo zipo chini ya window 8 i.e lumia 510 sikushauri hata kidogo bora uchukue android
 
Nokia tayar wamenyolewa ngoja kuna ck apple atanyolewa mkia
 
labda hiyo window 8 lakini kwa ambazo zipo chini ya window 8 i.e lumia 510 sikushauri hata kidogo bora uchukue android

Tatizo Mkuu hii simu inasifika kwa kukaa na chaji. Ni android ipi nayo inayokaa sana na chaji?
 
labda hiyo window 8 lakini kwa ambazo zipo chini ya window 8 i.e lumia 510 sikushauri hata kidogo bora uchukue android

Sawa ila nimeambiwa hii simu inajitahidi sana kukaa na chaji. Ni android ipi nayo inatunza chaji vizuri?
 
smartphone nyingi huwa zhazikai na charge kutokana na wingi wa application uliopo kwenye simu na nyingi kutumia internet simu kadri inavyokuwa na uwezo wa mah ndio kadiri inavyoweza kukaa na charge kw fano galxy s4 ni mah 2600 wakatii nokia lumia 510 ni 1300 mah kama sijakosea ila angalia na budget yako uchague kulingana na budget yako!!!
 
anasema 720
 
kampuni ya Microsoft imeinunua kampuni ya Nokia! ambayo ni maarufu kwa utengenezaji na usambazaji wa simu za Nokia..

Nokia imeshindwa kukabiliana na ushindani kutoka iphones

GONGA HAPA ujionee!

kaka nokia alikua anatengeneza simu za wp na amenunuliwa akatengeneze wp, hiihaimaanishi ni ushindi wa apple na kushindwa nokia inamaanisha competition inaongezeka maana alioinunua nokia ndie aliedevelop wp
 
Panasonic kufuata.Wanampango wa kuachana production ya smartphone
 
Mkuu acha mahaba sana, hii simu huwezi kuilinganisha na htc one wala htc one x, hiyo simu size yake ni htc desire x, htc desire v au samsung galaxy 3 mini, muulize hata chief-mkwawa
J'3 nimeulizia Posta ni 520,000. Simu kwa nje imetulia sana tena zaidi ya kuliko Samsung Galaxy wala HTC yoyote labda HTC ONE.
 
Mkuu acha mahaba sana, hii simu huwezi kuilinganisha na htc one wala htc one x, hiyo simu size yake ni htc desire x, htc desire v au samsung galaxy 3 mini, muulize hata chief-mkwawa

Mkuu mi nazungumzia kwa nje, siongelei Software. Ni kubwa ila sio kubwa sana, imekaa kwa style flani hivi ya kipekee pekee.
 
ujue lumia 720 ndio lumia ya design nzuri kuliko zote so far (ukitoa lumia 925). wembamba wake na ukubwa wake wa 4.3 ni mzuri.
 
kampuni ya Microsoft imeinunua kampuni ya Nokia! ambayo ni maarufu kwa utengenezaji na usambazaji wa simu za Nokia..

Nokia imeshindwa kukabiliana na ushindani kutoka iphones na kampuni nyingine zinazokuja juu kimauzo!!

source: bbc dira tv

sasa subiri comeback yake...
 
Back
Top Bottom