kwamba hatujiwezi na tunachotegemea sana ni sisi kufaidika na ulinzi wao na akilizao za kutumia utajiri wetu ... napinga Most of countries in Africa wanajalibu kusimama nchi kama nchi bila kutemegemea msaada maaana misaada yao ina malimbikizo ya itikad za kijinga na masharti makali sana
Mfano...
ok uzi bora na mtamu sana
kwa watu wanaotaka kufanya na kuweza kutoboa ulaya hii ni fursa bora sana na muhimu kwa muda na wakati husika,
Maana ukitaka kutoboa inabidi kweli uikane nafsi wataalam wanasema mafanikio ,uhai na umasikin ni vitu vinavyo fatana sana ..
Wanaotaka kwenda kutoboa mbele...
God iz Good All the time
Binadam amebadilisha vingi katika kutafuta ahueni na faida yake katika jambo fulan
Cha msingi jifunze kwa utashii mkubwaa sana maana miluuzi ni Mingi sana ukishindwa (Ishi katka upendo)
ok inaweza kua mbinu ya kumfanya awe invisible lakn kutokana na story teller umo ilikua inakadiliwa kuna watu kuanzia 22.. pia watu walio resist apo ni kama watatu kwa mtazamo wa kawaida Osama na IQ yake asinge kua na akili kama izo just think zen kuficha sura na DNA ndo mshangao zaid pia kuna...
[emoji3577][emoji3577] lets continue start get knowledge muhm sana kwa vizaz vyetu kupambana na tatzo inabidi ujue primary source ya tatzo mpk mwaka huu unaisha nazan ntakua nimejaa madin watu mnajua sana[emoji1547][emoji1547][emoji1547]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.