Dhana ya uwepo wa Mungu na shetani: π—₯π—˜π—£π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘/π—₯π—˜π—£π—§π—’π—œπ—— π—›π—œπ——π——π—˜π—‘ π—¦π—˜π—–π—₯π—˜π—§

WatesiWETU

Senior Member
Jan 2, 2022
106
245
FAHAMU:-π—₯π—˜π—£π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘/π—₯π—˜π—£π—§π—’π—œπ—— π—›π—œπ——π——π—˜π—‘ π—¦π—˜π—–π—₯π—˜π—§.

ANAANDIKA MWALIMU JAMES

Viumbe kutoka Nje ya mfumo wetu wa jua waliumba dunia. Kuna vitu ambavyo hawakuumba wao.

Uwepo wetu wa kifizikia katika mpangilio wa 3D katika ulimwengu wa kuonekana kwa macho ya kawaida Ni uumbaji wa baadhi ya jamii ya viumbe iliyopiga hatua kubwa sana kiteknolojia, kimaendeleo, Kiroho n.k .

Sisi tunaita Mungu lakini ilipaswa tuwaite Miungu.

Mwanzo 1:26 "na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu"
Inaonyesha mkusanyiko ulikaa kikao kutoa maamuzi kuhusiana na mpangilio wa DNA zetu.

Sisi Ni zao la jamii ya viumbe walio na ujuzi mkubwa katika teknolojia ya bio-electric na DNA programmers.
Kutumia maneno Mungu na Miungu huonyesha hisia za ukuu wao katika cheo na mfumo wa viwango.

Haikutakiwa iwe hivyo na haikupaswa ifanywe hivyo lakini ilifanywa kwa makusudi maalumu.

Sasa hivi kusudi limeisha, narudia Tena kusudi limeisha (Hatutakiwi wala hatupaswi kuwaita MUNGU au MIUNGU), labda Kama umeamua kuishi na kufuata amri,
Oda au imla zilizopitwa ambazo hazina nafasi ya kutumika Tena katika dunia ya sasa.

Hawa tunaowaita mapepo Ni jamii ya Reptilian ETs ambao nao walishiriki kikamilifu katika matukio yaliyotokea pindi dunia yet inaumbwa.

Jina la Mapepo walipewa kwa sababu walikuwa katika Vita na viumbe walio Tuumba. Zaidi ya hapo hakuna haja kuwatisha watu kuhusu hawa viumbe. Huu ulimwengu toka ulipoumbwa mpaka sasa unabadilika, na tayari hii dunia Ina uhalisia mwingine

Uhalisia ambao haukuumbwa, Huko ndipo Kila kitu kipo, ulimwengu ulipoumbwa ulianzishwa the uncreated
permanence of existence. Hapo ndipo nyumbani.

Hali, maono na utambuzi mbaya au mzuri hutokana na hisia. Kama unahisia nzuri na kitu au jambo fulani, utaona ni kitu kizuri na Kama utahisi vibaya utachukulia Ni kitu kibaya.

Na tuna kawaida ya kujumuisha vitu vizuri kwamba ni vya Mungu na vitu vibaya ni vya shetani
Kama dini zetu zilivyotufundisha.

Shetani sio Ibilisi na Jehova sio Allah. Mapepo na Malaika ni wasanifu wa kazi mbalimbali wakati wa uumbaji na hatuna haja Tena ya kuwaangalia Kama wazuri au wabaya.

Hakuna kiumbe ambaye ni mbaya moja kwa moja na hakuna ambaye ni mzuri moja kwa moja Kama tunavyoona matendo ya hasira Jehova katika bibilia na Allah katika Quran.

Ukweli ni kwamba Jehova na Allah sio wakuu Tena wa dunia ya sasa, isipokuwa jamii ya Reptilian.
Kiwango Cha juu kabisa cha ufahamu hutoka katika ulimwengu usioumbwa, kwa hiyo mipangilio yoyote unayotaka kujiunga nayo waweza.

Yaani unaweza kuungana na Jamii ya Reptilia ama Jamii ya Humanoid kama upendavyo lakini si kwa kukaa kanisani au nsikitini ni kwa kujitafuta na kufungua Ule uzio ama lango lililo weka kwenye upeo wa macho yako kama pazia ili kukuficha Uhalisia na Ukweli wa ulimwengu huu.

Kwa wale wasio penda kutoka nje ya Uzio wa Imani na Dini Kwa hakika watasema mwalimu James Ni mpotoshaji, ana Mapepo na wengine wataenda mbali zaidi kwa kusema ni Wakala wa Ibilisi. Lakini kwa wale watafuta ukweli kwa hakika watasubiri mpaka mwisho ili tu waweze kuona kile ninacho maanisha.

TAHAJUDI/MEDITATION IS THE KEY TO UNLOCK THE SECRET.
 
Hello WatesiWETU nimependa ulivyo chambua umeelezea vizuri sana

Huyu MWALIMU JAMES ni nani?
Unaweza ni toa maelezio zaid kuhusu huyu mwalimu
Nakutuambia jina la hicho kitabu
 
Haya mambo yameelezewa kwa undani sometimes kwa ushahidi usio wa moja kwa moja na yule muingereza David Ickle Kama sijakosea, inahitaji free mind kidogo kusoma vitabu vyake Kama vile Children of matrix, The biggest secret na The truth shall see you free etc...Kuna baadhi ya vitu vichache sanaaa nakubaliana naye ktk vitabu vyake.
 
FAHAMU:-π—₯π—˜π—£π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘/π—₯π—˜π—£π—§π—’π—œπ—— π—›π—œπ——π——π—˜π—‘ π—¦π—˜π—–π—₯π—˜π—§.

ANAANDIKA MWALIMU JAMES

Viumbe kutoka Nje ya mfumo wetu wa jua waliumba dunia. Kuna vitu ambavyo hawakuumba wao.

Uwepo wetu wa kifizikia katika mpangilio wa 3D katika ulimwengu wa kuonekana kwa macho ya kawaida Ni uumbaji wa baadhi ya jamii ya viumbe iliyopiga hatua kubwa sana kiteknolojia, kimaendeleo, Kiroho n.k .

Sisi tunaita Mungu lakini ilipaswa tuwaite Miungu.

Mwanzo 1:26 "na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu"
Inaonyesha mkusanyiko ulikaa kikao kutoa maamuzi kuhusiana na mpangilio wa DNA zetu.

Sisi Ni zao la jamii ya viumbe walio na ujuzi mkubwa katika teknolojia ya bio-electric na DNA programmers.
Kutumia maneno Mungu na Miungu huonyesha hisia za ukuu wao katika cheo na mfumo wa viwango.

Haikutakiwa iwe hivyo na haikupaswa ifanywe hivyo lakini ilifanywa kwa makusudi maalumu.

Sasa hivi kusudi limeisha, narudia Tena kusudi limeisha (Hatutakiwi wala hatupaswi kuwaita MUNGU au MIUNGU), labda Kama umeamua kuishi na kufuata amri,
Oda au imla zilizopitwa ambazo hazina nafasi ya kutumika Tena katika dunia ya sasa.

Hawa tunaowaita mapepo Ni jamii ya Reptilian ETs ambao nao walishiriki kikamilifu katika matukio yaliyotokea pindi dunia yet inaumbwa.

Jina la Mapepo walipewa kwa sababu walikuwa katika Vita na viumbe walio Tuumba. Zaidi ya hapo hakuna haja kuwatisha watu kuhusu hawa viumbe. Huu ulimwengu toka ulipoumbwa mpaka sasa unabadilika, na tayari hii dunia Ina uhalisia mwingine

Uhalisia ambao haukuumbwa, Huko ndipo Kila kitu kipo, ulimwengu ulipoumbwa ulianzishwa the uncreated
permanence of existence. Hapo ndipo nyumbani.

Hali, maono na utambuzi mbaya au mzuri hutokana na hisia. Kama unahisia nzuri na kitu au jambo fulani, utaona ni kitu kizuri na Kama utahisi vibaya utachukulia Ni kitu kibaya.

Na tuna kawaida ya kujumuisha vitu vizuri kwamba ni vya Mungu na vitu vibaya ni vya shetani
Kama dini zetu zilivyotufundisha.

Shetani sio Ibilisi na Jehova sio Allah. Mapepo na Malaika ni wasanifu wa kazi mbalimbali wakati wa uumbaji na hatuna haja Tena ya kuwaangalia Kama wazuri au wabaya.

Hakuna kiumbe ambaye ni mbaya moja kwa moja na hakuna ambaye ni mzuri moja kwa moja Kama tunavyoona matendo ya hasira Jehova katika bibilia na Allah katika Quran.

Ukweli ni kwamba Jehova na Allah sio wakuu Tena wa dunia ya sasa, isipokuwa jamii ya Reptilian.
Kiwango Cha juu kabisa cha ufahamu hutoka katika ulimwengu usioumbwa, kwa hiyo mipangilio yoyote unayotaka kujiunga nayo waweza.

Yaani unaweza kuungana na Jamii ya Reptilia ama Jamii ya Humanoid kama upendavyo lakini si kwa kukaa kanisani au nsikitini ni kwa kujitafuta na kufungua Ule uzio ama lango lililo weka kwenye upeo wa macho yako kama pazia ili kukuficha Uhalisia na Ukweli wa ulimwengu huu.

Kwa wale wasio penda kutoka nje ya Uzio wa Imani na Dini Kwa hakika watasema mwalimu James Ni mpotoshaji, ana Mapepo na wengine wataenda mbali zaidi kwa kusema ni Wakala wa Ibilisi. Lakini kwa wale watafuta ukweli kwa hakika watasubiri mpaka mwisho ili tu waweze kuona kile ninacho maanisha.

TAHAJUDI/MEDITATION IS THE KEY TO UNLOCK THE SECRET.
Wewe kichwani kwako kuna madudu sio bure.
 
Mwanzo 1:26 "na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu"
Inaonyesha mkusanyiko ulikaa kikao kutoa maamuzi kuhusiana na mpangilio wa DNA zetu.
Hapa ilikuwa ni 'mashauri' ya Mungu Baba katika Utatu wake Mtakatifu wa Baba, Mwana Na Roho Mtakatifu.
Mleta mada unatumika vibaya sana na nakuonea huruma sana!
 
Kuna uzi niliwahi kutana nao. Ulidai ya kwamba familia ya malkia Elizabeth ni Reptilians/Mijusi
Hahaha! Ma dracullah
ketchup.gif
 
Back
Top Bottom