Wapi huko uliko maisha rahisi hivyo? kwetu nyama kilo 9500, sembe na dona 2200, sabuni ya jamaa 3500 wakati wa Magu ilikua 2000 kwa duka la jumla na mtaani 2500
Basi wasubiri kipigo kutoka kwa Mungu tena natamani apigwe huyu deep na huyo mchepuko wake, wakipwe kwa laana kubwa na magonjwa ili kiburi cha uzima kimtoke
Kweli kaka sio vizuri, mwisho wako sio mzuri na utakumbuka ushauri wetu humu jf na itakua too late. Achana na michepuko, mpokee Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako. Saa yoyote Yesu anaweza kurudi na hatachukua wazinzi au unaweza kufa saa yoyote, je utaenda wapi? huko kuzimu kuna...
Hii ni roho ya kutoka kuzimu, sasa shetani ana uzao wake anaoutumia kufanikisha agenda zake. Huyo mbunge anayetetea ushoga atakua ni uzao wa shetani au anatumiwa na shetani pasipo yeye kujijua anatumiwa, mtu yeyote aliye vulnerable kiroho anatumika, usipokua na Roho Mtakatifu unaweza kutumiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.