[QUOT="Zilla The G, post: 30679439, member: 266148"]Mtu akiwa shoga kule, natakiwa nichukie ili iweje!?
Mwili ni wake, maamuzi ni yake, uhuru ni wake, utashi ni wake, na ushoga ni wake!
Hiyo zamani unayosema wewe ni ipi? Ninyi kila siku si mnanukuu habari za Gomora na sodoma, au sio ninyi...