Recent content by rayun

  1. rayun

    Idadi ya mateja Zanzibar inatisha

    Jambo hili haliwahalalishii ao vijana wa kizanzibar kua wabwiya unga....mbona hawabwi unga vijana wa kisiwani mafia...wamejiendekeza hawataki kufanya kazi wameishia ivo... alafu ilo la kua zanzibar wanakula mlo mmoja ni uongo mkubwa...utafiti huu umefanyika lini..ripoti zipo wapi kama si...
  2. rayun

    Ushuhuda wa kutisha kutoka hospitali ya serikali

    naunga mkono hoja...I my self nimepostpone internship program kwenda kufanya issue fulan itayoniingizia ela kwa muda wa miezi 6 kwanza..coz hali si nzuri ntakufa...n some people hawaijui hii hali wao kazi kumwaga malawama tu
  3. rayun

    Tuwachore....................

    kafanana na wasira
  4. rayun

    Naomba msaada fee structure ya Postgraduate ya MUHAS

    ingia kwa website ya muhas..download postgraduate application form au prospectus...utapata unachohitaji
  5. rayun

    Nilikosa nafasi ya Jeshi Z'bar kwa udini, Nishasamehe

    sasa wew..kwa nin usiende jeshini kupitia kwenu Geita rafiki angu...izi lawama nyengine ni za makusudi aisee....Geita majeshi pia wanasajiliwa...wew utoke Geita uende dungaaa...hii inaitwa kusudi haina pole yakhee
  6. rayun

    Umewahi Kusikia Mgombea Yeyote (Watawala au Wapinzani) Akitoa Ahadi Hii? Kwanini?

    kwa kumbu kumbu zangu vipo vingi ndani ya Zanzibar Unguja na Pemba ayo maeneo...ambapo watoto na wakubwa mida ya jioni hukutana kupunga upepo na play kwa watoto... kuna Forodhan, jamhuri garden, kariakoo, na sehemu nyingine za ngambo ya mji...km kiembe samaki, mwera,
  7. rayun

    Maalim Seif, amua moja!. ama tulia ndani ya ndoa, au omba Talaka yako uwe huru! lakini ghubu hapana!

    Watoto wa nje ya ndoa..siku zote hujitahidi kuishi kwa wema kukwepa ile laana ya asili ya uchafu wa wazazi wao... Lakini necha hua inaendelea kuwatafuna..japo siku moja madhaifu atayaonesha tu na kuonesha hali halisi ya uma..laya wa wazee wao.. Haingii akilini kwa mtu mwenye heshima...
  8. rayun

    Whatsapp na Mgogoro wa Familia

    poleee dada angu. ila duuuhhh w.ume tunatofautiana kwa kweli. kama iyo kesi unavoelezea ni kweli, nathubutu kusema mumeo ana matatizo, tena makubwa, mumeo alipaswa yeye kukwambia toka kwenye grp kama ilo lakin yeye ndo kwanza admin tena ana kuadd kw nguvu,...nna wasi wasi na akili za mmeo, im...
  9. rayun

    Whatsapp na Mgogoro wa Familia

    aiseee, apana kaka/dada naomba ututake msamaha sisi wanaume wazenji, hatunaga upuuzi uwo kw kweli, mim maisha angu na mke wangu yapo kivyangu vyangu, hatuna ata maingiliano na ndugu ndugu. apo uyo m.mme mpuuzi, utatengenezaje grp ya familia aafu unamleta mkeo, aaaaggggrrrr, jamaa mpuuzi...
  10. rayun

    Mwenye ukweli kuhusu ust Jafari Siraji wa MUM anijuze tafadhali

    Ni kweli maiti ake ilikua jana muhimbili, ikaoshewa hapa hapa, ikaenda kusaliwa msikiti wa kichangani bada laasiri
  11. rayun

    Rais wa Zanzibar, Dk Shein amuonya na kumtaka Maalim Seif kuacha kuwagawa wananchi

    Sijapata kuona mtu mpumbavu kama wew. Hivi Seif na Tanzania ipi ilikuja mwanzo!???, kwa nini ulazimishe awe na Uchungu na Tanzania wakati Tanzania ni zao la nchi yake mama Zanzibar!??? asili yake oman, tujaalie sawa iwe ivo unavotaka iwe hana uhalali wa kutetea anachokiamini!?? kwani yee si...
  12. rayun

    Wanawake hawapendi wanaume wenye familia kubwa

    chukua like milioni mbili mkuuu, wewe ni genius,...umeakisi uhalisia wa maisha ya kitanzania haswaaaa, sio ao wanafiki wanafiki wngine wanaojitia kuigiza igiza
  13. rayun

    Moja ya sababu za wanawake kudundwa na wanaume wao

    Uyo ndugu ako juha kabiiru kabisa, utaacha wangapi??? utarudisha makwao wangapi?? ukishamrudisha kwao iweje??? m.mme ndio mlezi, umepewa mke umemtoa kwenye mamlaka ya mzee wake umsimamie m.mme umlee umhudumie kila kitu, leo m.mke anafanya utovu wa adabu, unamrudisha kwao si ndo udhaifu wenyewe...
  14. rayun

    Nani wa kulaumiwa hapa jamani

    Kaka angu, m.mke uyo yupo wapi siku hizi, thubutu yake. wabishi kama chuma,
Back
Top Bottom