Recent content by raysonkalugendo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Volunteering Bank

    jamani nina Bsc Computer science nataka kufanya volunteering katika banks,naombeni msaada kwani kila ninapojaribu kuomba ninakosa,wana JF nisaidieni mawazo yenu ni mchango Tosha
  2. R

    JamiiForums Tanzania utumishi wametema

    kwa wale wote walioomba kazi katika sekta mbalimbali utumishi wametema.tafuta jina lako mapema anza kureview madesa uliyoyasoma kapige interview nawaombea mema mungu awabariki
  3. R

    JamiiForums Tanzania Utumishi Vip?

    Mbona walisema leo wataweka majina ya waliochaguliwa kwenye tangazo la kazi la tarehe 26 march
  4. R

    JamiiForums Tanzania recruiting agency

    msaada please kwa yoyote anayejua recruiting ageny zilizopo mwanza anijuze kwani ni mgeni kidogo mkoani hapa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo pleaseee

    Nashukuru kwa mawazo yako,Ni kweli swala la kujiajili uwa nalifikilia sana na napenda lakini uwa nawaza mtaji huo wa kuanzisha ofisi nautoa wapi akati hali yangu kifedha hairuhusu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo pleaseee

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni...
  7. R

  8. R

    JamiiForums Tanzania Head of IT - Spedag Tanzania Limited

    ahsante mkuu ngoja tuifanyie kazi
  9. R

    JamiiForums Tanzania helloooooo!

    naomba ushilikiano weno wenu mimi ni memba mpya.nawapenda xna wana jf
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za uhamiaji.

    kaka usijali siku itafika utapata kazi,wazoee wana JF wengine wanakatisha tamaa
  11. R

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya IT

    mim ni memba mpya nina bachelor ya IT naishi mwanz, nimemaliza 2012 natafuta kazi naomba maoni yenu.ntashukuru kwa mchango wenu
Back
Top Bottom