Utumishi Vip?

huyu jamaa amezisubiri kwa hamu sana,mambo ya ajira hayatakiwi hvyo unaweza kufa kwa pressure
 
Taarifa kwa Umma kusuhu Tangazo la kazi la tarehe 26 Machi, 2013. Waombaji wa nafasi za kazi Serikalini kwa tangazo lililokuwa limetolewa tarehe 26 Machi, 2013 kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ambalo mwisho wa kutuma maombi ilikuwa terehe 9 Aprili, 2013 wametakiwa kuangalia majina yao katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kuanzia tarehe 13 Mei mwaka huu ili kujua endapo wamechaguliwakwa ajili ya kufanya usaili wa nafasi walizoomba.
 
haya leo tarehe 14 tuone sasa,,,

walisema kuanzia tarehe 13 hakuna destination wanaweza wakatoa hata tarehe 28 au 30 au 15 mwezi ipo ndani ya maeleezo yao eleweni statement jamani pitieni hata mikataba juu kwa juu kwa au maelezo ya kisheria mtajua ku clarify mambo vitu vidogo vitawafunga tulieniila mkae tune kuanzia jana sio jana japo wangeweza kutoa jana ukijua haya mambo bwana hata haisumbui unacheza na akili za watu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom