Msaada wa mawazo pleaseee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo pleaseee

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by raysonkalugendo, Apr 29, 2013.

 1. r

  raysonkalugendo Member

  #1
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers,bronchure.
   
 2. r

  raysonkalugendo Member

  #2
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers ,bronchure
   
 3. W

  Wonder Senior Member

  #3
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 144
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  pole sn kuwa na iman utafanikiwa endelea ku2ma appl na kumwomba Mungu.,ucjione upo peke yako c wengne n miaka ishapita ha2na ht kibarua,hal tyt!.
   
 4. W

  Wonder Senior Member

  #4
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 144
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kw ushauri mwngne tafuta mtaj then anzisha ofis yako kutoa services hzo kw wa2 huku ukisubiria hiyo ajira inalipa kuliko kukaa bure ama tafuta ht volunteer mahal il kuweza kuboresha taaluma yako,pole sn!.
   
 5. r

  raysonkalugendo Member

  #5
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa mawazo yako,Ni kweli swala la kujiajili uwa nalifikilia sana na napenda lakini uwa nawaza mtaji huo wa kuanzisha ofisi nautoa wapi akati hali yangu kifedha hairuhusu.
   
Loading...