Recent content by raymond2500

  1. raymond2500

    Msaada jamani

    Tembelea website zao nafikiri utapata jibu la swali lako
  2. raymond2500

    Must college

    Iwapo una elimu ya sekondari au chuo, jiunge na MUST COLLEGE, iliyopo Ubungo Plaza Dar es Salaam. Chuo kinafundisha masomo ya GIS,GPS,Mobile mapping na Satellite Image applications kwa mwaka 1, Chuo kimesajiliwa VETA na masomo yanaanza 16 JAN 2012 Ada Tsh 1.2m. Kwa maelezo zaidi nipigie simu...
  3. raymond2500

    Mwanamke huyu ananifaa?

    Ulishawai kukaa nane na kumweleza kuwa unapenda mwanamke wa aina gani? au hupendi mwanamke wa aina gani, ukiwa kama mwaname lazima uwe na msimamo wako tena ukiangalia labda unamwandaa kuja kuwa mke Badae sasa kama hujawai kumwambia msimamo wako huu ndio wkt wake na kama hawezi badilika ni bora...
  4. raymond2500

    Msemo wa Leo....

    Haaaaaaaahhh imekaa njema
  5. raymond2500

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    Inavutia kuisoma endelea kubuni zaidi
Back
Top Bottom