Recent content by RAYMOND TULI

  1. R

    Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

    kwa sasa,ccm ni kilio kila kona hata mkoa wa Smiyu hawapati jimbo hata moja tena mzee wa vijisenti wanahamu nae sana!
  2. R

    CHADEMA wakiongozwa na Dr. Slaa kufanya mkutano SAUT-Mwanza

    Siku ya kesho Jumamosi Tanzania yote itahamishia macho na masikio hapa Mwanza ambapo Dr Slaa ataongoza timu ya Tundu Lissu,Suzan Lyimo na John Heche ktk kongamano pamoja na mkutano ktk mahafali ya kuwaaga makamanda wa CHADEMA SAUT. Watoa mada ni wote tajwa hapo juu, mada ni pamoja na elimu...
  3. R

    Natafuta mke!

    sichagui elimu aliyonayo awe tayari kuolewa na mimi mzuuri awe na umri kuanzia miaka 23 na si zaidi ya miaka 27!
  4. R

    Natafuta mke!

    vigezo vinahusika kati ya yule anenitafuta na mimi maana watu hatuko sawa ndugu yangu! mi nina miaka 27 hicho nakuambia wewe tu!
  5. R

    Natafuta mke!

    Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
  6. R

    Odinga alenga kushinda uchaguzi raundi ya kwanza

    acha ushamba unampenda mwenyewe rais ni uhuru!
  7. R

    Luhaga Mpina mbunge (CCM) Jimbo la Kisesa - Meatu, ampinga Kashilila

    Akihojiwa leo jioni katika kituo cha redio METRO FM jijini Mwnza amempinga na kusema na kusema kanuni za bunge zifuatwe kuliko kuwanyima haki wananchi haki ya kuwaona wabunge wao wakiwajibika kwao,pia ameongeza kua kutaongeza uzembe kwa wabunge kwani watajua hawaonekani hivyo hata kulala bungeni...
  8. R

    Dr. Thomas Kashilila apingana na Spika Makinda kuhusu bunge kurushwa 'LIVE'

    Tumesikia hivi kalibuni malumbano kati ya spika na makamu wake dhidi ya wabunge wa upinzani kimsingi wapinzani wanawakilisha watu wao na wananchi wapo nyuma yao ndo maana hata mkutano wa wabunge wa upinzani uliofanyika DAR ES SALAAM umati mkubwa ulifulika hayo yote ni kudhihirisha wanazidi...
  9. R

    Ukata ni hatari katika elimu vyuo vikuu

    Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku chache lakin mbali na hilo chuo kitaanza masomo kabla loan board hawajatoa acommodation hivi mwanafunzi...
Back
Top Bottom