Recent content by raymkindo

  1. raymkindo

    DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

    Bei ya Frame ya Stand Kùu ya Nanenane ni pesa ngapi palee. Maana naona Frame nyingi ziko wazi sanaà
  2. raymkindo

    Je, unahitaji kusajili kampuni?

    Company profile mnatengeneza kwa pesa ngapi na nini mnahitaji kukamilisha?
  3. raymkindo

    Mikopo hii itaniuwa sasa

    Madeni yakizidi hutotoboa, utakuwa unafanya kazi ya kulisha wenzako.
  4. raymkindo

    AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Leo nimetumiwa email ya Kuwa mmoja wa watu walio kuwa selected na ALX Africa, software engineering ya 12 month, nimejaribu kupitia mtandaoni naambiwa ni moja ya course ngumu sana kama hauko committed kuisoma. Wish me Lack Kufanikisha.
  5. raymkindo

    Wapi naweza pata Driving School Morogoro

    Naomba kujua wapi kuna driving school Morogoro. Ukiachana na VETA. Nimeenda VETA wamenambia mpaka mwakani.
  6. raymkindo

    Room Attendant Needed Drive In Lodge

    Nenda kwenye interview na Mawasiliano yapo hapo
  7. raymkindo

    IT Teen Needed (Expect in Graphic Design and Web Development)

    Natafuta Kijana aliye interested katika Graphic Design and Web development. Education level : Certificate/DIPLOMA Location: Morogoro Call: 0677 507205
  8. raymkindo

    Room Attendant Needed Drive In Lodge

    Msata Wilaya: Chalinze Mkoa: Pwani
  9. raymkindo

    Room Attendant Needed Drive In Lodge

    We are looking for a reliable and friendly Room Attendant to join our hospitality team in order to provide superb customer service to our guests. Your duties will include ensuring that assigned rooms are fully stocked, cleaned, and serviced to a high standard. You should also be able to resolve...
  10. raymkindo

    Naomba kujua, Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani?

    Tafuta ofisi katika mkoa uliopo, utazipataaa. Kuna mawakala. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. raymkindo

    Kuna programming language nyingne ni bora uzitumie tu kuandika web Apps za kawaida sana

    Tatizo la programmers wengi tuna fail si kwa kuwa hatujui ku code ila hatujui which is best language to use when it comes to solve problems. Yani tunasomaa somaa tuu kisa umesikia flan anafanya java na wewe unaenda soma java kuna watu wana fanya python na wewe unakimbilia python mwisho wa siku...
  12. raymkindo

    Computer skills & Web Programmig

    Kama bado hujapataaa nitafute tuyajenge
  13. raymkindo

    Computer skills & Web Programmig

    Nitafute tuyajenge
  14. raymkindo

    Attn: Website and Management System!

    Website na Management system huwa zinatofautiana kulingana na requirements husika za project yako. Hivyo ni vyema ukaeleza requirements zako katika hiyo website na system kisha ukapewa bei elekezi. Kwa website na management system unaweza kunicheki inbox au kwa number yangu +255 759 019 408 Kwa...
Back
Top Bottom