Recent content by Rayman ProphetMcRay

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Rais wetu nimeamin kuwa umekosa Busara lakn ngoja niseme kuwa tuko tayari kufa lakn hatutakubali kufa kama kondoo bali tutakufa kama binadamu. Asante sana Kamanda Lema Mungu Akubariki.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Mbowe, SAID, Dr.SLAA, Lema, Mnyika, Lissu Hapana Chezea hawa watu Kwani Ukiwapa Dk 5 tu lazma usalimu Amri na Kujiunga na Jeshi la Ukombozi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Wasomi bdo ni watumwa wa wanaSIASA, Inaitajika machale usilale, ila wale wasikulishe, ujinga Wakutawale....~Joe makin
  4. R

    JamiiForums Tanzania Arusha: A libarated zone.

    A-Town 4 life.
  5. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'walishinda' uchaguzi katika kata zote 27!

    Pamoja sana kamanda.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Acha Upuuzi hv Sombetini ilikuwa ni kata Ya chama gan.?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkumbuka hayati baba wa taifa mwl. JK Nyerere

    Asante mkuu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lema aongoza red briged kung'oa mashina ya uvccm leo usiku kata ya sombetini

    Tupia namba yko ya mpesa au tigo pesa, ili CCM wakishnda hapa Sombetini nikutumie kilo 3.,.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawafanya viongozi wa CHADEMA wapende kwenda jela kila siku??

    Umejifanya ZUZU kwa kupuuza Historia, kama unahisi unawezo mdogo wa kukumbuka historia mbalimbal za wapigania uhuru, bas jarb kukumbuka japo kidogo tu historia ya mandela alaf utakuwa umepata jibu la mada yako.!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nilitimiza agizo la Kamati kuu ya CHADEMA dhidi ya TBC

    Hv TBCCM bado Ipo., aaaaagh, mwenye taarifa anijuze.!?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Kumbe chama tawala sera yao kuu ni Chadema, daa nimeamin M4C Pamoja daima ni shi......dah..!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Umenigusa sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

    Pamoja Daima Kamanda Mbowe..!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jumapili niende Mkutano gani?

    Jangwan ndio Mpango Mzima..!
Back
Top Bottom