Acha ushamba uwe unauliza kabla ya kukurupuka bhakheresa yup unayemsemea wewe?! Kama wa azam utakua humfaham vizur,jamaa ana degree ya uchum,ispokuwa kiswahili kinamzingua kidogo that why alishindwa kusoma kwa kuweka vituo,istoshe jamaa hanaga tym na watu xo hakutanag na watu weng kama...
Mleta mada rudia upya mada yako! Unalinganisha moshi vs dodoma au kilimanjaro vs dodoma?! Kuna kitega uchumi gan cha kuliingizia taifa kipato kilichopo dodoma?! Ukiondoa dodoma manispaa ni wilaya ipi unaweza ukafanya uwekezaji mkoa wa dodoma? Kabla ya sera ya shule za kata mkoa wa kilimanjaro...
Mwalimu mmoja wa sekondari katika kijiji cha Santilya jina (......} katika wilaya ya Mbeya vijijini alikumbwa na kadhia ya kubakwa na vijana 10 wa kijijini hapo mida ya saa kumi usiku alipokuwa akirudi nyumbani kwake akitokea bar alipoenda kupata kilevi.
Baada ya kumaliza kilevi akaanza safari...
mama yako mdogo ndiye aliyemfanya mwanae ndondocha na una bahat ulikimbia ungetolewa wewe, si ndo tabia yenu watu wa nyanda za juu kusin! Bado huo siyo ushahidi wangekuwa wameoana wote wachaga halafu ikawa hivyo xawa bt si kwa mchanganyiko na hilo kabila lenu la wachawi mama yako mdogo mchawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.