Recent content by Rayban/p

  1. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

    Yule nae saund zimekuwa nyingi maelezo kibao labda kama wanatengeneza tukio la jamaa kurudishwa ndo jamaa anatuletea vaku zakupiga mikwara.
  2. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

    Trump kama sativaa bwanaa 🤣🤣🤣🤣
  3. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unatoa zaka (fungu la 10) hauishiwi pesa

    Kuna mahali watakuwa wanatoa tuu fungu lao la kumi. Kwenye madhabau wanazozijua wao. Hupati kitu kama hutoiii
  4. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyie Wahudumu Hospitali ya Bombo Kitengo cha Emergency acheni majibu ya dharau

    Ebooo!!!!! kuna ka bwana mdogo hapo nikadogo kangu tena kapo hapo kitengo cha dharura. Ngoja nikasukumie huu uzi kajibu mashtakaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Huo ujanja wanautolea wap? Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
  6. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Magari wanajua kuendesha kwenda mbele tuu nakukanyaga brake lesen zao huwa ni kofia wanaeka kwenye dashboard afuu wanaenda mikoani njian humo nivituko hata tair kutoa hawaez Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
  7. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Sifaa za kijinga na uonevu koplo unauliwa na boda kwakisuu. Huko vitani siwatakimbiaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
  8. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Sasaa umepiga kibao. Mwenzako kakuchoma kisu umeaga sasa iko kichapo mnachotembeza ndo kitamfufua boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifunzen adabu muache na ulevi wakiboyaaa la sivyo vijana washachafukwa Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
  9. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Na cheo chote ukagombane na vitoto mpaka vikuchome kisu ufe. Serikali ipate hasara familia ibaki na matatizo kwajili ya ubabe wakipumbavu tuu. Alomchoma ye hana chakupoteza unakuta ndo wale watu washajichokea. Amejisababishia kifo cha aibu na chakujitakiaa Sent from my Infinix X652C using...
  10. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

    Namkakubali gari liondoke [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuingiza bidhaa sokoni ikiwa umebaki mwezi mmoja kuexpire?

    Uht ndo yanakaaa miez mitatu mtindi nimwezi mmoja tuu.
  12. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Sumu ya panya kwenye maji tenaa??? Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
  13. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na wakushi ambao hutumia uchawi/mazingombwe ya kumtemesha mtu nywele na kucha

    Nikiwa darasa la sita arusha nikakutana nao mitaa ya sabena. Ananiuliza hospitali ya macho nikamjibu sipajui akatokea anaepajua et tumpeleke atatupa hela tugawane. Me kuskia hela nshapiga hesabu za matumiz safari ikaanza. Tukashuka posta meru tukakatiza arusha meru sec hao uwanja wa nmc sahiv...
  14. Rayban/p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Kasema matajiri wanaofanya zinaa lazima utajiri wao ni washirikiiii
  15. Rayban/p

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tozo zimejenga vituo vya afya 234

    Na zile za kovidi? Na ile mikopo jobu alisema nchi itauzwaa zinafanya nini?
Back
Top Bottom