Recent content by RAYAN THE DON

  1. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Nilichogundua hapa ni kwamba waajiri wengi wanapenda incompetent persons. Hii ni kwa sababu competent & smart persons hawapendi kuajiriwa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Wakili Peter Kibatala na Mtobesya have to coach their fellow counsel especially John Mallya,Matata on how to cross examine. I do really appreciate Mr. Kibatala kwa sababu ni fundi sana katika mahojiano kinzani (Cross examination). Hakika bila yeye kusingekuwa na huu udambuudambu.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2021 AFCON Special Thread

    Mwaka huu hili kombe ni la Morocco.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Familia za ki-afrika zina changamoto kubwa sana mkuu.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Ku-share changamoto wakati kunasaidia kuondoa sumu mwingine.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Ahsante sana mkuu. Ndiyo changamoto za kimaisha.
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Pamoja mkuu.
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Duuh aisee.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

    With due respect, Tiga is still incompetent Judge. So he has wrong way to go.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

    Leo mawakili wa michongo yaani akina Kibatala wamefurahi sana baada ya kushinda mapingamizi yao.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata copyright ya video ya youtube

    Mkuu katika kusajili hiyo kazi yako itabidi ufuate hatua zifuatazo:- Hatua ya kwanza ni kupeleka maombi ya kusajili hiyo hakimiliki katika mamlaka husika ambayo ni COSOTA. Zifuatazo ni baadhi ya nakala ambazo utaambatinisha katika maombi yako. 1. Nakala 2 za hiyo kazi unayotaka kuisajili( two...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika nimechoka kudanga

    Yes brother. Kwema?
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika nimechoka kudanga

    Hahahahh mkuu fanya hivyo aisee.
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msukumo wa wazazi.

    Habari za mchana wakubwa kwa wadogo. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo wote humu ndani na manaendelea vyema katika utafutaji wa ridhiki. Wakuu bila kupoteza muda naombeni ushauri katika hili jambo kwa sababu najiona kabisa kupotea katika uso wa Dunia. Wakuu kama nitakuwa nakosea...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika nimechoka kudanga

    Mkuu Asprin kwema? Ukiwa kama kaka mkubwa na mkongwe humu ndani jitahidi ummshike mkono huyo dada yetu na uhakikishe unamvusha ng'ambo ya pili kama Musa aliyoyafanya kwa wanawaisrael. Baada ya wewe kufa basi mimi nitashika hicho kijiti kama ambavyo Joshua na Kaleb walivyokuwa.
Back
Top Bottom