Recent content by Ravia

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wa Dini nchi nyingine wanafiki wakubwa kama hawa wa Tanzania?!

    Wewe tulia Fanya mambo yako usipoteze muda babuuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    Hao watu wanaitwa dunga dunga huwa yeye hisia Zinakuja anapoguswa tuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Google waja na mpinzani wa WhatsApp

    Kwa nini huipend Fb?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Makalla kwa ulipofika na suala la walimu Mbeya

    Mwalimu huangushiwa mzigo ambao hata mzazi umemshinda! Hapa naliona hili baada ya mwanafunzi kumkunja mwalimu mbele ya wanafunzi wenzie no one takes care on this. Unasema mwalimu angemchapa unaanzaje kumchapa mwanafunzi ambaye umechapa wenzie wote tena viboko vi3 yeye akakataa na kukukunja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Makalla kwa ulipofika na suala la walimu Mbeya

    Ntaleta kama ilivyo boss
  6. R

    JamiiForums Tanzania Haya ndo matokeo ya Frank Msigwa, nilifikiri yeye ana division 1

    Nna mashaka na akili ya mtoa post
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Makalla kwa ulipofika na suala la walimu Mbeya

    Ni takribani wiki moja na nusu hivi tangu video ya kipigo cha Mwanafunzi ilipokuwa ikisambaa ktka mitandao ya kijamii huku serikali ikifanyia uchunguzi suala Hilo na kugundua tukio hilo lilikua likifanyika katika Shule ya Sekondari Mbeya Day. Tukio hilo liliteka hisia za wengi huku mawaziri...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kila nikimpa ni kama namwongezea spidi zaidi..

    Mapenz sio pesa na hapo cha msingi acha ujinga mana mwenzio kapata kitega uchumi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Upi ni uwezo sahihi wa mwanaume anapokuwa faragha?

    Inategemea unapiga nini na wakati ukiwa na hisia gani na ukiwa umekula nini! Pia unaweza piga mawili ya nguvu mpaka aombe pooo
Back
Top Bottom