Recent content by Raven95

  1. Raven95

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Quran Mama yake Yesu ndiye Mwanamke Bora kuliko wanawake wote Duniani

    kweli na ndio maana kwenye Quran kuna sura nzima inayo mzungumiya mama ake yesu
  2. Raven95

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

    hongera sana kiongoxi
  3. Raven95

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

    huyu kijanaa wa hovyo sana[emoji871][emoji871][emoji871]
  4. Raven95

    JamiiForums Tanzania Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

    sipendi maboga kwa kweli
  5. Raven95

    JamiiForums Tanzania Burundi yafuata nyayo za Tanzania, yakataa chanjo

    viongozi wanakataa chanjo ya korona je vipi kuhusu ninyi raia wa nchi hzo zilizo kataa chanjo,,nanyi mmekataa au ndo vile bendera fata upepo
  6. Raven95

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    leo asubuhi akati najiandaa kwenda kazin nasikia mtu akipita nje akitangaza kuwa mzee flan amefarik pia jana na juzi huyo huyo amepita kutangza misiba miwil hii ni baloz ya sehem flani hiv makambako ni hatar sana yan kila siku huku kwetu tunachangia hela za misiba inasikitisha sana
Back
Top Bottom