Recent content by Rato

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Hatimaye jambazi sugu mbaroni
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wampuuza Juma Nkamia

    Enviroments shaped Ngamia mchumia mtumbo.Amesahau alikotoka ambako atarudi tena 2015.Kwani na yeye kilichomtoa nini?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Kama hatuwezi kumpeleka raisi na kurudi salama basi hakuna haja ya kutuniana misuli na hawa watu.Au jeshi letu pamoja na intelgence unity na kikosi maalum cha ulinzi wa Rais vinauwezo wa kupamban na watu wa Mtwara tu.Woga ni umaskini sis ni Taifa linalojimudu kiulinzi ndio maana tupo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Rais wangu nakupenda na kuamini ila kama unaongoza Jeshi ambalo haliwezi kukulinda basi bora utuambie ili tujue hawajakudhuru kwa kuwa hawajaamua.Kama vyombo vyetu vinauwezo wa kukulinda tafadhali nenda
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika wa Bunge

    Kwa uwezo wake labda awe mweka hazina wa kikundi cha kwaya
  6. R

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia ni mnafiki

    Heee! kumbe Ngamia ni mbunge
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo...

    Kwa maana ya heshima ya mamlaka inakuwa siyo nzuri vinginevyo poa tu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mtu wenye matunda ndio unaotipiwa mawe
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sijui tumwiteje? viongozi wa dini na siasa wapi na wapi?

    Kweli dini,siasa vimekuwa kazi za wapiga dili
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sijui tumwiteje? viongozi wa dini na siasa wapi na wapi?

    Mheshimiwa,Doctor,Mchungaji Getrudi Lwakatare mhh!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ahamishwa toka Muhimbili kwenda Hospitali ya Magereza Segerea

    Mwache avune alichopanda
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Aliwapataje hao jamaa au walitangaziwa vijiweni maana hawa jamaa kwa viwembe na bisibisi ni noma.Kutembelea waathirika wa mabomu Arusha lini?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

    Mleta mada kuna ujumbe alitaka kutupa ila tatizo kaongozwa zaidi na hisia.Bosi alisema wahamiaji haramu.Na wasipoondoka mpaka tarehe hiyo nasema wapigwe tu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ileje achafua hali ya hewa

    Mhh! mpaka mtoane firigisi mwenzako akimwaga dagaa wewe mwaga samaki
Back
Top Bottom