Recent content by RASTA KAKA

  1. RASTA KAKA

    Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Kuzembea kitabu, uwezo nilikua nao na ninao hata sasa lakini sikutendea haki muda niliokua nao hapo nyuma. Najua upumbavu unaogandana na jina mwanafunzi hivyo sihangaiki kuambia toto la mtu lisome kwasababu najua halitanisikiliza
  2. RASTA KAKA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Olewa basi nasingano maana naona inakuchoma sana wanaume kusoma bila kulipia😁😁
  3. RASTA KAKA

    Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

    Supply ya post yako yenyewe ni kubwa kulikoo demand yake bora usingepost We umeshiba harage uko unakuja kutujazia demand na supply kwenye simu
  4. RASTA KAKA

    Umewahi kufikiria ama kujaribu kujiua

    Ah niliwahi, Mungu akaniongoza tu kwa mwalimu wangu mmoja wa siku nyiingi alikua ni mwalimu lakini ni mshkaji yani braza tu ambae unaeza piga nae story yoyote nakumbuka miezi michache nyuma nilikutana nae akaniangalia tu akaniambia "rasta hauko sawa na kuwa mwanaume sio lazima utunze kila kitu...
  5. RASTA KAKA

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Kwaiyo unahisi mwamba kasoma kanda zote sio😂😂 Acha kukurupuka
  6. RASTA KAKA

    Hii ndo sababu ya Wakristo kukataza talaka

    Nimeelewa somo vipi kuhusu swala la mke mmoja maana naona kama ni gumu sana
  7. RASTA KAKA

    Rosa Parks alivyosabibisha Montgomery Bus Boycott nchini Marekani

    Bongo hata wa rangi upo yani ni nchini kwako na unabaguliwa na hakuna kitu utafanya chuga kuna kimtaa iko wanakiita PPF huko wa nakaa madoni( hasa wahindi na wazungu, weusi wapo ila wachache ). Picha linaanza wamefunga njia zote za kuingilia hilo eneo wameweka mageti na KK kapuku ukitaka...
  8. RASTA KAKA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Nafkiri anataka kuolewa na singano anahisi ndo roma
  9. RASTA KAKA

    Hii ndiyo Tatu Bora yangu ya Wanachama Bora JF kwa 2022

    Bila mzabzab uzi haujakamilika
  10. RASTA KAKA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Sikieni hili bwabwa la Facebook
  11. RASTA KAKA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    ANGALIZO!!: Tutakuja kushikana mashati na mtu apa JF, singano chunga sana mzee
  12. RASTA KAKA

    Vijana mna moyo, nime fake account leo nimemtongoza binti wa miaka 23, amenitukana matusi ya nguoni

    Wewe ndo huna adabu mzee mzima unaenda kutongoza kitoto unachomudu kukizaa ili ugundue nini zee lahovyo sana tafuta kazi za kufanya lima tubustani, soma vitabu, mswalie mtume...n.k
  13. RASTA KAKA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Basi Singano unajikuta rooma
Back
Top Bottom