Recent content by rasta got soul

  1. rasta got soul

    Gari gani poa ya ''kifamilia?''

    Inafika ila inabidi upate msaada kwa watu wenye uzoefu kama sisi maana kuna terminologies inawezekana hutazielewa na lazima ujue regulation wakati wa importation. Kama vile inspection usisahau kuwaambia wa cover..
  2. rasta got soul

    Shipping container homes

    Kwa hapa tanzania kuna mafundi ambao wana uwezo wa kudesign interior na exterior kama kwenye hizo picha??
  3. rasta got soul

    Shipping container homes

    Container zinapatikana.. 40ft $3000 20ft $2500. Zinauzwa legally na risiti unapata kama uko serious njoo PM
  4. rasta got soul

    Kutuma mzigo kwa DHL kutoka nje ya nchi

    Unaweza ila nauli yake hutaimudu maana wale courriers wana safirisha vitu kwa ndege. Ndege wanachaji nauli kulingana na kilo za mzigo wako.
  5. rasta got soul

    Hii cable ina kazi gani

    Unatumia kwenye cm unachomeka flash port ya pili unaingiza kweny cm unaweza ku access vitu vilivyomo kwenye flash disk.. Kwa uzoefu wangu hiyo ni usb maalum kwa simu za android OS
  6. rasta got soul

    Pamoja na dalili zote za kunipenda, ila nimemtongoza kanibwaga

    Labda ana kasoro flan ambayo ukiifahamu anahisi hutampenda tena. Au amekupenda ila anatingisha kibiriti. Au yupo serious na anchokisema kuwa muwe marafiki maana kuna wanawake wana misimamo hatari
  7. rasta got soul

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kupiga punyeto a.k.a kujichua ni uzinifu??
  8. rasta got soul

    Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Usiseme tulipigana. Ulimpiga mkeo. Kwanin na wewe kabla hujampa kipondo usiite ndugu kwanza.. Mkuki kwa nguruwee!!!!
  9. rasta got soul

    Used ipad air2 32gb gold color wi-fi + chip FOR SALE!!

    Kinafanya kazi vizuri kabisa. Nimeitumia 1 year na wala sina wazo la kubadilisha kwa aliye interested nauza as it z...
  10. rasta got soul

    Niliumizwa sana nashindwa kusahau

    Huwezi kuishi peke yako ukiwa kama binadamu mkamilifu.. Kwa dhana hiyo unajijengea tabia ya kuwa na mwanaume akuridhishe kimwili uachane nae. Kwa style hiyo utajikuta unatembea na wanaume wengi na magonjwa ni mengi.. Jifunze kusahau na kusamehe soma vitabu omba counselling utapona hiyo tabia...
  11. rasta got soul

    Sijamuelewa huyu jamaa

    Nadhani yupo kwenye mipango ya kimaisha labda kuonana na stake holders.. Tujaribu ku think positive jamani..
Back
Top Bottom