Recent content by rasmanyara

  1. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

    Apumzike kwa Amani
  2. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Huyu Jenista Mhagama akitimiza anayosema kufukuza wageni nitamheshimu rasmi

    Ethiopia tu ndo nchi ya bara la Africa lililoweza kuwa na wafanyakazi wazawa wengi kwenye uongozi katika viwanda au sehemu zabiashara
  3. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    Wamuogope Mungu, kiongozi anayelazimisha yeye kuiongoza jamii wakati haija mkubali huyo hatoleta maendelea
  4. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

    Kuamini habari za Star Tv kuhusu Ukawa ni sawa na kuamini maneno ya NAPE au LUSINDE JUU YA UKAWA
  5. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Wajinga kama we uliyetoa ndo mnakua na mawazo finyu yenye mipaka,kuna sababu zaidi ya 10 inayoweza kusababisha. acha kufikiri usawa wa pua yako
  6. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ITV kuhusu Bunge ina walakini; imeegemea upande mmoja

    akili zenu nyie ni sifuri kabisa. habari imekamilika hiyo
  7. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba kujua ni tiba IPI nzuri kwa mtoto aliyeungua na maji ya moto Sana kwenye mguu wake. ( very deep Barning)
  8. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Kwa mwendo huu wabkumfuata mwanasiasa, ccm itatawala had I mwisho was Tanzania utakapo fika
  9. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Amina Mwidau wa CUF achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC

    wanawake wanakaribia kutufunika Sie waume kwa kuwajibika ki kazi
  10. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Ushabiki was vyama na watu binafsi ndo unaaribu taifa letu,ccm wqnafurahia hichi coz wao wanaendelea kujiimarisha
  11. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    mshikaji hafai kabisa,zile tetesi kabla ya sakata lake za kwamba wameanzishaa Chama no kweli!!! Sasa anaziofisha upinzani wakati anasema anataka chama tawala iondoke madarakani. Zzk hafai hata kwa kachumbari yenye ndimu
  12. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Pole kwa walio umia,Mungu awaponye. MUNGU ailaze roha za marehemu pwma peponi
  13. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Hili picha siyo mchezo - Kipanya

    CCM kuna chansi kubwa ya kutoka haraka kimaisha,ndo maana wengi wamekimbilia uko
  14. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza

    Anataka kuaribu biashara ya bosi wake isiende vizuri
  15. rasmanyara

    JamiiForums Tanzania Waliotembea kwa mguu kutoka Geita, wapandishwa Kizimbani

    Ile ni sehemu ya Mafisadi/wapiga dili na Wafanyabiashara ya biashara h ndo wanaopita pale la sivyo awe na bendera ya ccm
Back
Top Bottom