Ivi ukimuunga mkono magu inakuwa lazima ujiuzulu chama chako? Basi nawaende wakahamie nyumbani kwake wavae kanga ili watuhakikishie kwamba kweli wanamuunga mkono, acheni siasa za kitoto nyinyi ccm.
Sent from my SM-N910V using JamiiForums mobile app
Amezipeleka wapi hizo hela? Banki kuu, kule zilikotoka kwa Rugemarila, ofisi ya CCM, au Ikulu? Hebu tusaidieni wanaojua, na zitapokewa kwa reference gani? Au iko account ya wanaorudisha pesa serikalini? Au CCM katika ubora wake wa sanaa za maigizo wanaendelea.
Sent from my SM-N910V using...
Wewe hebu jisikilize unavyopotoka, ingelikuwa ndugu yako amefanyiwa huo unyama wa kushutumiwa na akauwawa bila ya kupelekwa mahakamani ungesemaje? Mahakama zipo kwa wahalifu wote ifike pahala mamlaka ziache usanii wa kisiasa na kuwafanya baadhi ya wananchi kuwa muhanga wa siasa zao chafu.
Mm sio taasisi ya umma kwa hio silazimiki kuanika nilichokifanya kwa time frame yangu mwenyewe, ila Rais wa nchi anawajibika kuonesha mipango ya taifa ya muda mfupi na mrefu, wakati huo anaonesha hatua anazochukua kufikia huko, na pia akikubali ushauri wa wadau ambao ni sisi alotuomba kazi (...
Anapigana na nani kwa Taifa hili, wapinzani? Ni kipi alichofanikiwa mpaka wakati huu anakaribia uchaguzi mwengine ukiachilia mbali kuendesha serikali kama taasisi yake binafsi na kugombana na taasisi za kimataifa?
Yaani unakusudia tuungane na jitu pumbavu lisiloweza kutumia akili, ili tuuhakikishie ulimwengu kwamba ss wote akili moja? Au unakusudia tuungane nae huyo Rais ili tukipigwa faini ya mabilioni tusiweze kumlaumu, yaani tuwe wote ss tumeshiriki kuliangamiza taifa? Hebu fafanua mkuu.
Huna hoja ila una vioja Pascal Majanga, ivi muna khofu ya nn kuhusu uchaguzi ikiwa huyu muheshimiwa anafanya vizuri? Kwa nn asiweke fair ground Kwa vyama vyote wananchi wakaamua maisha yao?Pascal Majanga hebu jaribu kuipotezea njaa kidogo na kuwa Neutral, itendee haki akili yako, usijaribu...
Wapo wengi wangetamani kujiunga na jeshi ama la polisi au Jwtz, lakini wanaanza kuekewa mguu mapema wanapigwa mchujo, ccm wanaogopa wanasema hawa sio wenzao, kwa hio nao wamejiona hawahitajiki sasa wanajitafutia shughuli nyengine za kimaendeleo sasa sijui hizi kelele za nn wakati ni CCM System...
Wewe una uhakika amekamatwa na sare za jeshi? Au umewasahau polisi wa kibongo kwa kubambikia kesi wanazopenda? Na ikichangiwa na bifu na bashite na mkuu wa kaya, ni bahati yake kama hajapewa kesi ya ukamanda wa Kibiti.
Wewe kweli kilaza ivi wewe hata shule ya msingi pia hukubahatika? Oh sorry kumbe nyinyi ndio viongozi wa kesho? Na huyu wa leo (Magu)si ndio jana akisubiri awe kiongozi? Duh safari ya Taifa hili ngumu kwa viongozi wa namna yenu, kazi ipo, endelea kushabikia ujinga mana wewe ni kati yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.