Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Kwa mujibu wa kanuni ya 12 ya kijitabu cha majulisho cha mahakama ya usuluhishi ya London, serikali yaTanzania haishurutishiki kwenda kwenye usuluhishi huu London.
Hatujui mkataba kati ya serikali na wawekezaji unasemaje kuhusu hili, kwa kuwa umewekwa kuwa siri kuliko uchi wa mzazi.
Hatujui mkataba kati ya serikali na wawekezaji unasemaje kuhusu hili, kwa kuwa umewekwa kuwa siri kuliko uchi wa mzazi.