Nadhani hii ni chuki iliyopindukia mipaka na ni ya kitoto sana. Nadhani bora ungeleta mada ya maana ambayo ina make sense kuliko hii.Ebu jiulize wewe mwenyewe mada yako inamchango gani ktk maendeleo ya taifa hili.Huyu ni Rais pekee aliyewathamini na kuwapa support wasanii. Na ktk kipindi chake...
Hayo ni makundi ya mercenaries yanayojificha kwa kutumia miavuli ya kidini ktk kutekeleza mambo yao pale washirika wao wanapokwenda kinyume na makubaliano ndio mauaji hutokea na kusingizia dini. Uislamu wetu haufundishi uovu wa namna hiyo.
Wakati wa mtume (SAW) hakukuwa na ugaidi. Haya mambo...
Nadhani ulikuwa unamaanisha LOWASA ndio pendeleo lako binafsi la kuwa rais wa Tanzania ajae na sio la Watanzania wote au wana JF wote.Tuweke sawa hadidu za rejea. Mimi hao wote sio pendekezo langu. I prefer a young blood like ZITTTTOO
Kichwa cha habari na content ya maoni yako ni tofauti, ndio maana watu wengi wame critisize.Ila maoni yako ni sawia. Si vyema kuwafanya maprofesa kuwa wanasiasa.Angalia sasa walipoiweka Credibility ya wasomi wa kibongo!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.