Habari
Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi (Individual), ubia (Partnership) au Kampuni (Company).
Na ili uweze kukamilisha usajili huu lazima...
Ili biashara yako itambulike kisheria inahitajika isajiliwe na usajili unafanyika kwa kutumia system ya BRELA ORS. Ili uweze kufanikisha usajili huu unahitajika uwe na namba ya NIDA na TIN kwa usajil wa Kampuni. Kwa usajili wa jina binafsi la biashara ni namba ya NIDA tu inatosha.
Vitu vingine...
Msukule Msafi,
Salama, kwa kuanza lazima uanze kusajili biashara yako na katika kusajili unaweza kusajili ukiwa kama kampuni au kwa kusajili jina tu la biashara as Proprietorship, lakini itapendeza zaidi kama utasajili ukiwa kama Kampuni maana utakuwa na uwanja mkubwa wa kufanya shughuli...
Kinachofanyika ni kuisajili biashara kwa kukamilisha kuwa na nakala ya Cheti cha usajili ambacho kinapatikana BRELA ambapo unaweza kusajili kama jina tu la biashara au ukasajili kuwa Kampuni kabisa na baada ya hapo kuna zoezi la kwenda TRA kupatiwa TIN ya biashara yako na kufanyiwa makadilio ya...
Hongera sana kwa kuwa mpambanaji...kitu cha msingi unatakiwa kujua biashara gani ambayo unaweza kuifanya na ukishaijua unatakiwa upangilie gharama zake za uendeshaji na ufanye mchanganuo wa mauzo uone mapato yake yatakuwaje. Na biashara nzuri kwa kuanza unatakiwa ufanye biashara ambayo wateja...
Ni wazo zuri lakini lazima kwanza usajili biashara yako na pia uzingatie mahali ambapo unapotaka kuanzisha hiyo biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.