Anzisha kiwanda kidogo nyumbani

Sawa ndugu, basi naomba ulete mrejesho hapa.
Kitabu ni kizuri nimekipenda sasa naanza kufanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo humo. Changamoto ninayoiona ni namna ya kupata materials zake. Leo nimezunguka mjin kwetu Nimepata baadhi vingine nimekosa kwenye maduka ya vifaa vya maabara . Naomba msaada wa kuvipata.
 
wasiliana na huku kaka: 0754-621 354 , anauza na atakuelekeza vipimo.Yupo k/koo mtaa wa Omari londo(somali kipand).
Karibu
 
Mafunzo ni mazuri tatizo ni moja tu.
Unaweza kuwa mtengenezaji mzuri wa unga wa lishe, jam nk..kwenye uuzaji inakuwa shida kama huna kibali cha TFDA..na wao hawakupi kibali Hadi uwe umepata mafunzo kutoka chanzo kinachoeleweka Kama vile SIDO.
.
.
Naomba kusahihishwa kama nimekosea.
 
Back
Top Bottom