Mkuu asante sana, taarifa yako hii itatusaidia wengi....kwa haraka haraka mtaji wa bakery ina maana unazidi 10m! labda niombe pia utuongezee taarifa ya uwezo wa hiyo oven ya tray mbili inatoa mikate mingapi kwa wakati mmoja? na je ukihitaji kutumia sehemu tu ya oven mfano kuoka keki chache za oda usiiwashe yote itawezekana? Je inatumia nishati gani?Kuna uzi kadhaa zimeelezea hii kitu. Lkn pia ujaweka unataka kuzalisha vitu gani na kwa kiasi gani, hata hivyo ntakujibu kwa uzoefu nilionao.
Kwa vifaa vya kichina ambavyo angalau tunavimudu.
Mixer mpya ya kilo25 bei 4m na used inategemeana lkn ni 2m mpaka 3.5m
Oven deck 3 tray 2 ni 3.7m
Bread slicer 2m
Bread proofer 2m
Bread can la gram500 kwa moja ni 8,000/=
Digital scale 150,000
Branded plastic bags 25kg around 500,000/=
Kifungashio 80,000/=
Shelves kadhaa kwa ajili ya kupoozea
Alminium table 1x2meters
Leseni 100,000
TFDA around 500,000
TBS around 3m if not registered na SIDO otherwise pay 25% of 3m
Osha sijui gharama zake na wala sikutaka kuwafata kwani nilisha choshwa na ndugu zake
nk
For more info call 0652 494919
Habari mkuu? Nimeupenda huu uzi, naomba unisaidie kufahamu 50 kg ya ngano inatoka mikate mingapi na amira kiasi gani inatumika...Kuna uzi kadhaa zimeelezea hii kitu. Lkn pia ujaweka unataka kuzalisha vitu gani na kwa kiasi gani, hata hivyo ntakujibu kwa uzoefu nilionao.
Kwa vifaa vya kichina ambavyo angalau tunavimudu.
Mixer mpya ya kilo25 bei 4m na used inategemeana lkn ni 2m mpaka 3.5m
Oven deck 3 tray 2 ni 3.7m
Bread slicer 2m
Bread proofer 2m
Bread can la gram500 kwa moja ni 8,000/=
Digital scale 150,000
Branded plastic bags 25kg around 500,000/=
Kifungashio 80,000/=
Shelves kadhaa kwa ajili ya kupoozea
Alminium table 1x2meters
Leseni 100,000
TFDA around 500,000
TBS around 3m if not registered na SIDO otherwise pay 25% of 3m
Osha sijui gharama zake na wala sikutaka kuwafata kwani nilisha choshwa na ndugu zake
nk
For more info call 0652 494919
Habari mkuu? Nimeupenda huu uzi, naomba unisaidie kufahamu 50 kg ya ngano inatoka mikate mingapi na amira kiasi gani inatumika...
OkTUnasubiri arudi