Recent content by Rashid A

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, Tigo imezuia Whatsup call?

    E bwana! tumia lugha moja, either english au kiswahili..kijifanya unajua sana kizungu haina maana!! usiwe mpumbavu!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    Hakuna magari ya kike au ya kiume....kama huna uwezo wa kununua ...funga mdomo.ununue viatu vipya!!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Kwa nini walikubali kuuzwa wakiwa nchini kwao? wa Tanzania wenyewe hatuoni wafanyakazi wa majumbani wanavyo nyanyaswa na wa Tanzania wenzao humu humu nchini? hatua gani zinachukuliwa? Acheni umbea nyinyi!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

    Kwa nini wake za watu hutoka nje ya ndoa wakati nambo nyumba ni mzuri kabisa
Back
Top Bottom