Je, Tigo imezuia Whatsup call?

Je, Tigo imezuia Whatsup call?

ligati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
221
Reaction score
100
Wakuu naona Tigo imezuia Whatsup voice call feature, nimejaribu kwenye simu ikakwama nikaweka line ya Voda ikawezekana. Mhh! sijui jamaa wameona mapato yao yatapunguzwa na hii feature?

I hope others will not follow this move maana itakuwa ubakwaji wa net usage especially kwa consumers.Vile vile nahisi jamaa watest tu au wataanza kucharge tofauti hii huduma au watatoa masharti ya ununuzi wa kifurushi maalumu kwa ajili ya hii huduma(Whatsup) ,, but hii ni kuamsha sleeping giant yaani huduma za maongezi kwenye internet(Viber,Skype ,Whatsup etc) maana itacreate hype na awareness kubwa due to anxiety ya consumers.

Halafu vipi TCRA hapa net neutrality imezingatiwa kweli?
 
Udaku huu mbona nimepiga imeenda ??
 
mkuu uwe unauliza hata kwa watu wawili watu.... mm natumia line ya tigo nimeweza kumpigia mtu wa Tigo.

Mkuu kuita inaita but hauwezi kukamilisha mazungumzo so testing methodology isiwe kupiga ikaita tu,bali malizia conversation kabisa uone!! Halafu VoIP it doesn't matter Bparty ni tigo au sio sio tigo
 
Well, you have a point here.
 
Attachments

  • 1432391398540.jpg
    1432391398540.jpg
    13.3 KB · Views: 321
Yawezekana .. Tangu jana napata haka kaujumbe
 
Attachments

  • 1432394929380.jpg
    1432394929380.jpg
    20.2 KB · Views: 174
Wakuu naona Tigo imezuia Whatsup voice call feature, nimejaribu kwenye simu ikakwama nikaweka line ya Voda ikawezekana. Mhh! sijui jamaa wameona mapato yao yatapunguzwa na hii feature?

I hope others will not follow this move maana itakuwa ubakwaji wa net usage especially kwa consumers.Vile vile nahisi jamaa watest tu au wataanza kucharge tofauti hii huduma au watatoa masharti ya ununuzi wa kifurushi maalumu kwa ajili ya hii huduma(Whatsup) ,, but hii ni kuamsha sleeping giant yaani huduma za maongezi kwenye internet(Viber,Skype ,Whatsup etc) maana itacreate hype na awareness kubwa due to anxiety ya consumers.

Halafu vipi TCRA hapa net neutrality imezingatiwa kweli?

Labda kwenu me kwangu inafanya kazi
 
Yawezekana .. Tangu jana napata haka kaujumbe

Yes for android nyingi hiyo message unapata,,lakini kwa IOS unaweza ukapiga ikaita na mtu akipokea hakuna kinachoendelea,,bottom line hauwezi ukafanya any conversations ,,tatizo watu wabishi wanatest kwa kupiga tu bila kusubiri mpaka aweze kuongea
 
E bwana! tumia lugha moja, either english au kiswahili..kijifanya unajua sana kizungu haina maana!! usiwe mpumbavu!!
 
Back
Top Bottom