Recent content by Ras P

  1. Ras P

    Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

    Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
  2. Ras P

    Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

    Navojua kama milioni mbili (2,000,000)
  3. Ras P

    Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?

    Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleni
  4. Ras P

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Bw Emma usisome vifungu vya sheria kijuu juu bila kukamilisha ibara nzima hebu rejea hio ibara ya 67 ya katiba, katika kifungu kidogo cha saba (7) ambacho kinatolea ufafanuzi wa aya ya ( c), ya (d) na ya (e) za ibara ndogo ya (2) ya ibara hiyo ya 67. Utaona hapa Mbowe alitakiwa kulipa faini au...
  5. Ras P

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Nini maoni yako kutokana na ufisadi mkubwa hivyo?
  6. Ras P

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Haya masiara narudia haya masiara sitaki kuyasikia mimi nakatwa kodi kila mwezi halafu vipanya buku msio na haya mnajichotea mabilioni na kujinufaisha wenyewe na kunenepesha makalio ya wake zenu nasema kama mtanzania halisi na mzalendo hili halikubaliki.Natoa angalizo endapo ripoti halisi...
  7. Ras P

    Hili ni Aguko Kubwa kwa CCM!

    CCM hawana sera wao wapo kwa ajili ya kuboresha maslahi yao na familia zao. Zaidi wako kwa ajili ya masilahi wapate nenepesha makalio ya wake zao
  8. Ras P

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Wewe Ngoja Tu Kama Azimio la Arusha lilitokea Hapa basi Hata Ukombozi wa Taifa Hili Kutoka mikononi mwa Viongozi Wazalimu Litaanzia Arusha!!!!!!!!
  9. Ras P

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Waswahili walinena ukiona lafukuta basi ujue.........................................., Arusha iwe chanzo cha ukombozi tanzania kama Benghazi
  10. Ras P

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Huu ni ukandamizaji na ukiukwaji mkubwa wa haki ya raia kutoa na kujieleza kwa mambo yao ya msingi. Mimi nilisikia kwa masikio yangu mwenyewe mabobu na sauti za risasi mnamo muda wa saa kumi na moja kasorobo hivi kuamkia leo J'nne. Kwa kitendo hiki hata mimi mwenyewe kimenikasirisha sana. Mambo...
Back
Top Bottom