Recent content by ras nagashima

  1. R

    Kwa wafanyabiashara wa nguvu piteni hapa

    Lemme ni Pm number yako ya what's app!!
  2. R

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kwa mahitaji ya rally car tuwasiliane, pia tunaweza transforming gari yoyote from it's origin to Rally car (vehicles) Example hii ni Suzuki swift na Mazda demio
  3. R

    Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

    Gentaman usisahau shetani alimdanganya Hawa kwanza!!!!!
  4. R

    Nimeokoka lakini msichana wangu hajaokoka nifanyaje?

    Hicho ndicho kipimo chako cha Imani na kama kweli wewe ni mlokole unabase kwa Jesus ungepiga goti ungepata majibu Lkn siyo kutafuta jibu kwa mwanadamu!!!! unasomo bible lkn unaangamia kwa kukosa maarifa!!!
  5. R

    Used Japanese contraction equipments

    Criss mkuu hizi ni picha za mfano, hiyo ya kwanza ni wheel loader siyo grader,mobile crasher unahitaji yenye ukubwa gani?
  6. R

    Used Japanese contraction equipments

    Mkuu kigogo hiyo ni typing error kwenye uandishi inaweza tokea!!! Kwa mwerevu anatumbua ila kwa mpumbavu Kama wewe ndiyo ataona kitu kikubwa!!!!
  7. R

    Used Japanese contraction equipments

    Kwa mahitaji yako ya machine za ujenzi tafadhali usisite kuwasiliana nami!!! Kama vile Wheel loader,Hand roller, Compact vibrator, larger n small compressor, Grader, Excavator (larger/Min) mobile crasher, Larger Generators !! Big up JF members!
  8. R

    Japanese Garage Equipments (legal distributor)

    Mkuu bonge samahani mambo mengi nijulishe unataka cc ngapi mkuu wangu
  9. R

    Japanese Garage Equipments (legal distributor)

    Kwa mahitaji yako ya vifaa via Garage pls usiogope kuwasiliana nasi, supply only Genuine Japanese brand. 4wheel alignment system, 2 post 4tons/5tons lift, scissors lift on/in ground,4post 4tons wide lift, 4post 6tons lift, tire changers and computer wheel balance
  10. R

    Used Japanese combine harvester, power tiller, tractor, rice planters

    Ofic ipo tandika temeke from 9-5pm pako wazi wasiliana ok
  11. R

    Used Japanese combine harvester, power tiller, tractor, rice planters

    Machine Kama hizi naleta kwa order tu mkuu, price 25m to 30m, kulipia utalipia tu hapo tz officin mkuu, ndiyo zinawekana kufika mpaka horohoro Tanga mkuu
Back
Top Bottom