ras nagashima
Member
- Nov 29, 2014
- 68
- 10
Mkuu mkungo hapo kwenye maandalizi siyo professional hapo inabidi umuone Bwana kilimo, majina zipo kubota, Iseki,Yamaha nk
Mkuu Dzudzuk lini umepanga kuingia unahitaji machine zipi za kuanzia power tiller zipo kubwa na ndogo bei from 2.5-3.5M Tzs
Mkuu Dzudzuk lini umepanga kuingia unahitaji machine zipi za kuanzia power tiller zipo kubwa na ndogo bei from 2.5-3.5M Tzs
Make ya hizo Tractors, Horse power na bei zake please! :nod:
Mkuu hii ni picha ya mfano tu !! Kubota SR75s harvesting corn n white/riceMkuu naomba kujua hizo Harvester ni za mpunga tu au pia zipo za mahindi. Kiu yangu ni kupata ya kuvunia mahindi pamoja na kupukuchua mahindi. Je ipo? Ni bei gani? Kulipia ni aje? Zipo Tz au natumbukiza hela yangu nikijiweka rehani kwako mpaka ukijisikia ulete? Nipo siriasi naihitaji kabla ya mwezi july, 2015.



.Mkuu hii ni picha ya mfano tu !! Kubota SR75s harvesting corn n white/rice
View attachment 231161View attachment 231162View attachment 231163View attachment 231164.
Mkuu ras, naomba kujua bei pia njia ya kulipia na mahali zilipo. Miye ninazihitaji zifike Handeni je yawezekana? Samahan ni maswali mengi ila nikijibiwa yote yatautuliza moyo wangu
Machine Kama hizi naleta kwa order tu mkuu, price 25m to 30m, kulipia utalipia tu hapo tz officin mkuu, ndiyo zinawekana kufika mpaka horohoro Tanga mkuu