Habari ya leo wapendwa
Nawashukuru saana wote ambao mumetoa mwangaza wa namna ya kumsaidia Mpwa wangu.
Na namna ambavo mmetoa maelezo kwa wengine walio follow thread yangu wakiwa na issue kama ya huyu mpwa wangu.. baada ya kupembua mulichonambia na kuzidi ulizia uwezekano.
UAMUZI OLIOFIKIWA NI...
Habari ya leo wana jamvi.
Mpwa wangu wakiume kapata for ya IV ya 26. Je anaweza kupata nafasi kuendelea Advance hata kwa private!? Kama haiwezekani ataweza kupata ualimu serikalini ama private? Je kuna vyuo vya afya anaweza pata?
MATOKEO YAKE NI
CIV ~D
His ~D
Kisw~ C
Eng ~C
Geo ~ D
Chem ~D
Bios...
ndugu Mwananchi, kila jamii inahitaji mabadiliko, yes serikali kwa kutambua hilo ililuhusu kuwapo kwa makampuni ya namna hiyo kuwasaidia job seekers kupata kazi. the problems came, hayo makampuni yalianza kuwanyanyasa watu yanaowapa kazi, mishahara to some company halipwi na mwajili bali...
Jamani asanteni sana. Kwa kunipa mwanga. Nimeelewa huenda ningeforce mambo kwa kujiaminisha sheria ya tz ipo inayonipa mamlaka ya kumtaka boss anilipe.
Yes niko na NSSF. And ktk kamkataba kangu. Haijaainishwa nilipwe malipo ya aina yoyote.
Pia nilitoa notice ya siku 30.
Asanteni kwa ushauri...
Habari zanu wapenda, mie nataka niache kazi ktk NGO maana nimeshapata chaka la serikalini, but BOSS wangu huwa mtata sana ktk malipo, nataka kujua nimalipo gani kisheria niko Intitled kulipwa ikiwa nimeacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mzima?
Msaada tafadhari
Kabla ya kwenda hospital na kupata hizo dawa ka kuregulate hedhi yake. tulianzia kwa Dr. akaangaliwa kwa Ultrasound yes ikaonekana kuna kiuvimbe, ktk mfumo wa uzazi, yule dr. akasema twende ktk chumba cha magonjwa ya akina mama, alipofika huko dr. wa magonjwa ya akina mama akasema huo uvimbe sio...
Habari zenu wapendwa wa jukwaa la elimu ya afya. kama kichwa kinavoeleza, mke wangu nimeanza ishi nae takribani mwaka sasaa, ila anashindwa kupata hedhi yake karibu mwezi wa 8 sasaaa. tulienda hospital akapewa dawa za kuregulate mzunguko wake wa hedhi, hiyo ilimuwezesha kupata hedhi mara moja...
hamjambo wana JF poleni na majukumu kwa mulio katika payroll ya serikali and poleni kwa wale muendeleao kutafuta hiyo system. mimi nimeitwa kazi utumishi naelekea Halmashauri ya Singida. nataka kujua ni allowence zipi na kiasi gani zinatolewa kwa mtumishi mpya anaporeport kazini. na inaweza...
Kaka ili walushortlist inamaa wakiona wafaa watakuweka ktk data base yao sooo kama ni mtumishi utaonekana
Au wee huwa unaona waitwao interview majina yameandikwa kwa mkono!! Si ni SIPIYU typed names
Pia hayo mashart sio mapya bali ya kisa siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.