Kiukweli kwa matokeo hayo bwana Raphalena hawezi na kozi ya ualimu katika vyuo vya serikali wala Private.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa kwa sasa ili ujiunge na kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali au private ni lazima uwe na division kuanzia three na kuendelea.
Hata namna ya kuomba ni lazima uombe kupitia mfumo wa udahili wa pamoja yaani NACTE.Hivyo vigezo vyote wameseti online,utakapofika kwenye kigezo cha ufaulu hauta funguka ukurasa unaofuata ili uendelee kujaza fomu online kama vigezo havija timia.
Ingia pale kwenye web ya NACTE kunaorodha ya vyuo kibao pale kila kozi ina vigezo vya kuingilia. Vyuo kama utumishi wa umma Tabora,Tanga,Mtwara,Singida,mbeya,cbe,MICTES MOROGORO,MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE NK,HOMBOLO,UKUTUBI BAGAMOYO,kuna kozi zinataka D4 atapata.
asante