Kwanini mnamshambulia mtoa mada badala yakujadili mada iliyoletwa mezani hili ni tatizo letu kubwa watz hata maswala yetu mbalimbali yakitaifa tupo hivi tubadilike ni vizuri hoja ijibiwe kwa hoja sio kumshambulia mtu binafsi
Kwa jamii ya sasa ambapo kufanya kinyume na maumbile imekuwa jambo...
Nilichogundua wahudumu wa benki hawatoi taarifa sahihi kumuelewesha mteja juu ya nini kimetokea kwenye akaunti yake labda sababu ya kuharakisha kumuhudumia kupunguza foleni na kumeet TAT kwa hiyo mteja ataambiwa tu jaza form baada ya siku kadhaa akaunti inakuwa sawa hili ndilo linalofanyika...
Ulichoandika ni upotoshaji mtupu rudi bank upewe majibu sahihi na sio story zakupotosha watu, nakupa mfano ulikopa 10mil kwa riba 19% kwa miaka 6 after 1 year ukafanya topup lets say 15mil kwa riba ya 17% ndo riba yao kwasasa sasa utafanyiwa calculations tena kwa riba hiyo ya 17% mkuu kwa hiyo...
Jiheshimu u are the one who want to put the proof here i know who u are the way u reply here is the same way u reply people in the group u insult everyone whos against Jeff, i dnt have time for insult
Did u know kuwa Jp market wamezuia clients wao kutoa pesa zao kwenye trading account zao mpaka Jeff arudishe pesa alizochukua bank na wamemfungulia case so how come pesa za clients zipo salama? They say no withdrawal until mgogoro wa tmt n jp uwe solved.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.