The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Habari za weekend wana JF
I hope mko poa kabisa
Ipo hivi mwanake akiwa na miaka 18 -28 hawa viumbe ukiwa unawatingoza wanaringa saana na wengi wanakumbia acha tule ujana hawapendi kusiki habari za kuolewa au kubanwa banwa.
Mungu sio athuman miaka siku miez i inaenda anajikuta miaka 30 hii hapa. Kimbembe ndo kunapoanzia hapa sasa anaanza kuweweseka kupata mwanaume wa kumuoa unakuta mdada mzuri sana ana kila kitu anaolewa na Mwanaume ambae haieleweki kisa mdada kuficha aibu etii?? Cheza na mda wako dada yangu.